Muongozo kuhusu kozi ya Postgraduate Diploma in Education

Muongozo kuhusu kozi ya Postgraduate Diploma in Education

Brayson Minja

Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
55
Reaction score
39
Habari wana jamvi, Nilkuwa na omba kujua kiundani kuhusiana na hii kozi ya post graduate deploma in education.

Mimi baada ya kumaliza degree yangu nataka ni badili fani.

Swali langu ni ili baada ya kumalza hii kozi ajra ziki toka unaajiriwa kama mtu mwenye degree ya uwalimu au yenyewe ina kuwa juu kidgo ya degree ya uwalimu.

Asanteni sana!
 
Unaajiliwa ingawa kama umesoma masomo ya sanaa Advance bado ni changamoto kupata nafasi. Kwa sasa kila fani ajira zake ni ngumu upatikanaji wake.
 
Back
Top Bottom