Recent content by bravofau

  1. B

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kinondoni msipomchagua Mtulia mtaendelea kubomolewa nyumba, chagueni CCM mpate maendeleo

    Jtano ijayo tunaanza mfungo wa kwaresma, neno lililoniijia baada ya kuuona ujumbe wa kijana wetu makonda nikapata maneno ambayo hutawala sana kipindi cha kwaresma yasemayo "Bwana, kama wewe ungehesabu maovu yetu, nani angesimama?" Viongozi wetu kutokana na madaraka wamejiona kuwa wenye haki...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sare za Chama kwenye ziara za kiserikali

    Wapendwa wana Jf, naomba mnisaidie niweze kuelewa pale viongozi wa serikali wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao, kuna watu huwa nawaona wamevaa sare za vyama wakiwa katika hadhara za viongozi hao ambao kimsingi wako katika majukumu ya kiserikali, nawapongeza viongozi wenyewe kwa kuwa huwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Bombadier imetia hasara Taifa?

    Alafu naomba tuelewane, si kila anaekosoa ni mpinzani, sisi wengine ni wa chama tawala, ndani ya chama chetu tunao uhuru wa kutoa mawazo hata kama yanatofautiana na ya wengine. Najaribu kumwelewesha anaesema tuache ubavicha,
  4. B

    JamiiForums Tanzania Zikiwasili ndege zote zilizobaki kuna uwezekano hasara ikaongezeka zaidi

    Kwa kweli Mungu atutangulie. Shida ni hali ya maisha. Kwa wakazi wa mikoa fulani bado changamoto ni viwanja, wakitaka kutumia ndege mpaka wapande mabasi kwenda mikoa yenye viwanja.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kukomboa vyuo vikuu, mapambano ya hoja ilioanzishwa na Ben Saanane kutaka verification ya PhD za Viongozi yaendelezwe...

    Kuna baadhi ya mambo akifanyiwa mkuu wa nchi ambayo taasisi zinazomzunguka zinaweza kuchukua hatua bila kujari mkuu wa nchi atakuwa amelipokeaje jambo hilo? Najaribu kumtetea mkuu wetu hasa kutokana na kauli Zake ambazo naamini hawezi kuagiza mtu apotezwe. Siamini kama anaweza kuagiza hivyo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Bashite na umati mkubwa wa watu

    Binafsi nampongeza kwa jitihada anazozifanya, kwa kiasi fulani anajitahidi kujishughulisha, ni vitu ambavyo vilipaswa kuwa addressed na walio juu kwa nchi nzima kwa kuwa yote anayoyafanya yako nchi nzima, so ukizungumzia vyeti utaona swala hilo lina upana wake. Afadhali yake kuliko rafiki yangu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Serikali hii imeshindwa kweli kuwapata kina Ben Saanane, Mwandishi wa Mwananchi na waliomwaga damu ya Lissu?

    Mimi naamini Mkuu akihitaji majibu ya mambo yote haya ndani ya masaa 48 atapatiwa tu na mamlaka zinazohusika. Swali, Juzi katoa pesa za kumsaidia dada yetu anaeumwa mguu, ameonesha ni mtu anaeguswa na watu katika hali zao, muda si mrefu ametoka kumwona Mzee wetu King Majuro hospitalini, amefanya...
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alichokifanya Kenyatta ni Akili, Hekima na Busara sio Nguvu

    Viva kenyatha.
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alichokifanya Kenyatta ni Akili, Hekima na Busara sio Nguvu

    Mungu amtangulie,
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume magogo kitandani wakati wa Kusex

    Ndo shida hiyo ya kujifanya wabunifu, kwani tungeendelea na utaratibu wetu wa zamani haya magogo mnayoyasema tungeyasikia wapi? Zamani ilikuwa ni kupampu tu na ndio maana watu wa zamani akili zao zimetulia, watoto wanaozaliwa sasa ivi akili zao ziko kama walivyopatikana maaana baba na mama wote...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe aweka wazi hujuma anazofanyiwa na TRA baada ya kumkuta hana kosa la kukwepa kodi

    Sio rahisi kuyaelewa maneno ya wachungaji, unahitaji kufanya tafakari kabla ya kutekeleza kile unachokifikiria juu ya neno la watumishi wa Mungu. Nikukumbushe kidogo, wakuu wa Mafarisayo walimwendea Yesu wakamwuliza "Tuambie Mambo haya unayafanya kwa mamlaka ya nani? " Yesu hakuwapa jibu la moja...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya UKAWA imeonekana kwa 70% ya wananchi kususia uchaguzi

    Kumbe hujakomaa kisiasa ndg yetu. Hujui hata athari za kususiwa jambo ktk mazingira kama haya. Hata yule alie shinda huwa anakubali matokeo tu kwa sababu hana namna. Naye angekuwa na hofu ya Mungu kama mkubwa anavyotuhubiri kila mara huo sio ushindi. Hebu wafatilie viongozi wote walichaguliwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya UKAWA imeonekana kwa 70% ya wananchi kususia uchaguzi

    Jamaa umemshika pabaya kwa hilo swali, ngoja nione atalijibu vp.
  14. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatamba kushinda majimbo yote

    Tunaweza kupata wapi gharama zote zilizotumika kuandaa mpaka kukamilisha zoezi zima, Sina hakika Kama wanaojitapa kushinda Kama anaweza kulisemea hili. Yawezekana gharama ya maandalizi ingeweza kufanya jambo kubwa na muhimu kwa nchi yetu. Ifikie hatua mbunge/diwani akiachia ngazi yeye mwenyewe...
  15. B

    JamiiForums Tanzania NEC yaombwa kuweka sheria kwamba mtu akijiuzulu ubunge au udiwani awe amepoteza sifa ya kuwa mgombea wa kisiasa milele

    Na kama hilo likionekana gumu, basi jimbo au kata hiyo ibaki hivyo mpaka uchaguzi mkuu mwingine. Jimbo au kata iwe na sifa ya kufanya uchaguzi mdogo ikiwa mbunge au Diwani atafariki au atapata magonjwa makubwa na madaktari wakathibitisha kwamba hataweza kufanya laziness yoyote. Mbunge viti...
Back
Top Bottom