habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Bado upo duniani?Well done Pole Pole
Bado upo duniani?Well done Pole Pole
teh wananchi wamegoma kupiga kuraWell done Pole Pole

wananikumbusha utawala wa mfalme ju.haHivi unaposhindana na hewa halafu unatamba kushinda utakuwa mzima akilini kweli?
singida kashinda kwa kura miambili kati ya kura 200 zilizopigwaHahaha wasisahau kutuambia na idadi ya kura watakazopata.
Maana sikuhizi hata zile picha za kampeni zilizosheheni watu hawatuonyeshi.
Hivi wale polisi FFU watakuwepo pia uchaguzi huu au hajasema?!


CCM inashindana yenyewe lakini haiamini kama itashinda, chama cha ajabu sana.









Hahaha tume itangaze tuone. Kweli wameshinda kwa kishindo. Ni ushindi wa 100%.singida kashinda kwa kura miambili kati ya kura 200 zilizopigwa![]()
Tunaweza kupata wapi gharama zote zilizotumika kuandaa mpaka kukamilisha zoezi zima, Sina hakika Kama wanaojitapa kushinda Kama anaweza kulisemea hili. Yawezekana gharama ya maandalizi ingeweza kufanya jambo kubwa na muhimu kwa nchi yetu. Ifikie hatua mbunge/diwani akiachia ngazi yeye mwenyewe pasiwepo na uchaguzi na badala yake mbunge viti maalum akamilishe Muda uliobakiJamani hebu tuacheni unafiki Watanzania wenzangu. Kwani kuna Uchaguzi hapa au watu wameandaa makaratasi yatakayoonyesha ushindi wa Kishindo wakati wapigakura wenyewe watakuwa wachache vituoni baada ya kuona wanasiasa wanachezea kodi za Watanzania?
CCM ni balaa
CCM ni zaidi ya fisiHakukuwa na haja ya kuharibu kodi zetu wakati mshindi anajulikana.
wanaona aibu kutangazaHahaha tume itangaze tuone. Kweli wameshinda kwa kishindo. Ni ushindi wa 100%.


Hahaha watangaze ili tufahamu kama wameshinda,aibu ya nini si ndivyo walitaka au walitaka chadema wawaongezee kura na wawapige juuwanaona aibu kutangaza![]()
Mkuu usidhalilishe fisiCCM ni zaidi ya fisi