Sare za Chama kwenye ziara za kiserikali

Sare za Chama kwenye ziara za kiserikali

Kwani wewe wa chadema ulikatazwa kwenda na sare zako?mbona diwani yule kule handeni alikwenda na sare za chama chake na mkamtoa humu na pongezi na wala hakufukuzwa
Acheni infiriority complex ukisikia rais kaja vaa gwanda wahi kiti cha mbele,kulia lia hakusaidii mkuu
Usitufundishe unafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapendwa wana Jf, naomba mnisaidie niweze kuelewa pale viongozi wa serikali wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao, kuna watu huwa nawaona wamevaa sare za vyama wakiwa katika hadhara za viongozi hao ambao kimsingi wako katika majukumu ya kiserikali, nawapongeza viongozi wenyewe kwa kuwa huwa hawajisahau na kuvaa sare za vyama ingawa kuna baadhi hukikuta wanakisemea chama wakiwa kwenye shughuli za kiserikali, hakuna sheria inayowabana hawa wanaojitokeza na sare za chama kwenye shughuli za serikali?
 
Back
Top Bottom