Recent content by Bravo777

  1. B

    Mengi ni mfano wa kuigwa au wa kuogopwa?

    Juzi nilimshangaa mbunge mmoja alipokuwa akichangia hotuba ya Wizara ya Habari na kudai eti Mengi ni 'mfano wa kuigwa' katika kushughulikia maslahi ya wafanyakazi. Ukweli ni kwamba waandishi wa habari ndani ya IPP Media wanateseka sana kwa kucheleweshewa au kutolipwa kabisa mishahara kiasi cha...
  2. B

    Msiba mkubwa: Adam Lusekelo Mwakang'ata

    Huyu bila shaka alikuwa mmoja wa maadui wengi wa marehemu. Probably a 'victim' of one of Adam's pen-punches. Anyhow, must be some kind of azzhole. (sorry about earlier post, forgot to add quote.)
  3. B

    Msiba mkubwa: Adam Lusekelo Mwakang'ata

    We gonna miss u man. RIP
  4. B

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    It wasn't the same deal.
  5. B

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Kufuatana na kilichoripotiwa katika magazeti yote mawili (Nipashe na Tanzania Daima), inaelekea Jerry aliwapelekea risiti hiyo moja kwa moja kwenye newsrooms zao, lakini siyo polisi kwenyewe (hata copy). Kwa nini? Masuali yazidi kuongezeka bila majibu kamili. Did he solicit, or didn't he? - the...
  6. B

    Tujadili Kuhusu Sheria ya Matumizi ya Fedha Kwa Ajili ya Uchaguzi!

    Ilichapishwa kama tangazo ya kulipiwa katika hayo magazeti, hivyo si rahisi ku-download. Ila ninachoelewa mimi ni kwamba imo ndani ya latest government gazette (ya tarehe 11 December 2009) kama Bill Supplement No. 17. Pengine mnaweza kufuatilia hapo.
  7. B

    Tujadili Kuhusu Sheria ya Matumizi ya Fedha Kwa Ajili ya Uchaguzi!

    Muswada ulichapishwa in full katika magazeti machache sana nchini wiki ya Krismas (nadhani Daily News na Habari Leo peke yake - sijauona kwingine). Ulikuwa wakati wa pilikapilika za Xmas/New Year, bila shaka watu wengi wala hawakuushtukia. Nahisi serikali ilifanya hivyo makusudi katika jitihada...
  8. B

    TANESCO board split on MD Rashidi's fate

    Game Theory, ungeisoma hiyo makala paragraph mbili zaidi (hadi angalau paragraph ya sita), ungeona sehemu tovuti ya www.jamiiforums.com inapokuwa quoted DIRECTLY na mwandishi. If you want to criticize, criticize FAIRLY. Otherwise, it's always better just to keep quiet and not say anything.
  9. B

    Zitto, Salim & Rajoelina

    Kuna gazeti moja limeandika eti DJ alikuwa anapita Nyerere Airport kwa ajili ya kuweka mafuta katika ndege yake tu, ambapo Salim na Zitto walikuwepo uwanjani hapo wakiwa njiani kwenda nje ya nchi. Kwa maana nyingine, eti waligongana hapo uwanjani kibahati tu, pasipo ahadi yeyote. Mmmh! Mbona...
Back
Top Bottom