Zitto, Salim & Rajoelina

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
When Andry Rajoelina (The DJ Who Has Become Africa's Youngest President) met with Zitto & Salim Ahmed Salim at Julius Nyerere International Airport... (few days ago)

i872_DSC01783.jpg

i873_DSC01784.jpg

i874_DSC01786.jpg

i875_DSC01798.jpg

Zitto ulijua picha hizi ulipigwa na nani? Hahaha... kazi kwako!
 
nice one invisible, who is that lady in the picture, is it a DJ wife?anamfunika mama obama.
 
Bado najiuliza Protocal iliyopo hapo ni ya jinsi gani...! Rajoelina, Salim, Zitto...!
Huyu jamaa alikuja na mission gani kwa mnaojua?
 
Alikuwa anapita, ndege inajaza mafuta, hawa wamekutana hapo ni lazima wasalimiane
 
Hapo kama sikosei ni nje ya VIP departure lounge pale JK Nyerere International Airport. Zitto na Dk Salim nao walikuwa wanasafiri au walienda hapo kumsalimia rais kijana? Aliyepiga picha atudokeze kama anajua chochote kuhusu kukutana kwa watu hawa.
 
Kuna gazeti moja limeandika eti DJ alikuwa anapita Nyerere Airport kwa ajili ya kuweka mafuta katika ndege yake tu, ambapo Salim na Zitto walikuwepo uwanjani hapo wakiwa njiani kwenda nje ya nchi. Kwa maana nyingine, eti waligongana hapo uwanjani kibahati tu, pasipo ahadi yeyote. Mmmh! Mbona kama wanakutana kisiri - hakuna dalili ya mtu yeyote mwingine katika eneo hilo? Salim na Zitto walijuaje watamkuta DJ eneo hilo kwa wakati huo? Too many questions which need to be answered.
 
na ninyi mmezidi kuwa na wasiwasi kwani ni ajabu gani kukutana na mtu airport? nadhani hayo maelezo ya kuwa DJ anajaza mafuta yanajibu hayo maswali yako ila kilichobaki ni kuridhisha wasiwasi wako kitu ambacho wewe mwenyewe unawajibika kukifanya...pleas tuweni positive hata for a single day hiiii.
 
Rais wa kwanza Kijana (Tanzania) - Zitto Kabwe

Unfortunately Dowans imemuhalibia; handlers wake inafaa wawe makini wasiwe kama wale wa Lowassa wanaomtumbukiza motoni!! He is still young ajifunze from his mistakes na asiwe na papala. Asome sana mawazo ya JF na ayafanyie kazi yatamjenga!!
 
Salim hapo alisema alimfagilia sana Zitto kwa Rajoalina kwamba ni mmoja wa wanasiasa vijana walio makini na wenye uwezo mkubwa. Kwa bahati mbaya sana huyo Rais hajui vizuri Kiingereza nadhani mazungumzo hapo yalikuwa magumu sana.
 
Bado najiuliza Protocal iliyopo hapo ni ya jinsi gani...! Rajoelina, Salim, Zitto...!
Huyu jamaa alikuja na mission gani kwa mnaojua?

Mimi nimejiuliza swali hilo hilo, huyu jamaa si head of state?

Inakuwaje apokelewe na Zitto na Salim? Tena kimya kimya? Au kulikuwa na mapokezi rasmi halafu hii ni pembeni tu?

Hapo naona Salim kama ananyoosha kidole na kusema "Take a good look at this guy, you may run into him at some AU head of states summit in the near future" kidding.
 
When Andry Rajoelina (The DJ Who Has Become Africa's Youngest President) met with Zitto & Salim Ahmed Salim at Julius Nyerere International Airport... (few days ago)

i872_DSC01783.jpg

i873_DSC01784.jpg

i874_DSC01786.jpg

i875_DSC01798.jpg

Zitto ulijua picha hizi ulipigwa na nani? Hahaha... kazi kwako!

Robot, sioni kitu kabisa!
 
duh na mie natamani huyu zitto aandaliwe vizuri akifikisha 40-45 apewe nchi hawa wazee wenye sera za mlengo wa kizamani wakapumzike kwa amani
 
Rajoelina hatambuliki na Jumuiya ya Africa kama Rais wa Nchi. Hao Zitto na Salim walikuwa saizi yake. Protokali haikuvunjwa!
 
Huyu jamaa ni head of state ipi hiyo jamani, make hapa Africa hatuna nchi za Kihindi na huyu jamaa anaonekana kama mhindi
 
Huyu jamaa ni head of state ipi hiyo jamani, make hapa Africa hatuna nchi za Kihindi na huyu jamaa anaonekana kama mhindi

mkuu Madagascar wako hivyo wana uzungu/uhindi/uasia fulani hivi. Hata visiwa wa Seychelles na Mauritius wapo wasioweusi.
 
Back
Top Bottom