Recent content by Bravo Mike

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nampenda Trump Ila anaboa Sana ni mwoga wa Vita salute kwa Benjamin Netanyahu

    Hahaha uko shallow sana kwenye mambo ya geopolitics.. Ni sawa kuona watu wakigombea daladala halafu useme kwanini hawaendi na Benz?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Samia nchini Urusi inakwenda kutukosesha fursa nyingi za maendeleo kutoka nchi za Magharibi

    Wao wa magharibi wafanye biashara na Russia ya matrilioni ya madola kupitia chini ya kapet, ila nyinyi hamruhusiwi kufanya biashara yoyote ili muendelee kuwa ombaomba kwao.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukutana na upinzani mkali kutoka Iran Trump asema Marekani imesimamisha mradi wa kuongoza meli kupita Mlango-Bahari wa Hormuz

    Mkuu hiki tunachokiona kinachoendelea ni kweli au tuko kwenye ndoto? Marekani kufikia kudhalilika kiasi hiki? Mbona mporomoko wa kasi namna hii? Hii ndio Marekani ya kina George W Bush au nyingine? Hapana aisee!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Iran imejichokea kupitiliza

    Hahaaa Iran kajichokea? Wakati huohuo Marekani kapaki tumeli twake twa mwaka 1962 kuleeee karibia na Srilanka anavizia meli za mizigo kaungana na maharamia ya Somalia kuteka dadeki, sijui angekuwa Iran hajachoka ingekuwaje hahahhaa
  5. B

    JamiiForums Tanzania US Tunawasubiri Iran waje kwenye mazungumzo

    Sikutegemea katika umri wa maisha yangu nitakuja kushuhudia Marekani inadhalilika kiasi hiki.. This is too bad kwa kweli.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mataifa 10 Yanayoongoza Katika Uzalishaji wa Mafuta Duniani

    Marekani mzee wa propaganda za kuitisha dunia imuogope ..Hazalishi kiwango hicho cha mafuta, mafuta yaliyomo kwenye reserve yake underground ni ghali sana kuyatoa, ndio maana kununua ya nje kwake ni rahisi zaidi, sio kila cha kuambiwa tunaamini. Inawezekana ni siku moja tu alitoa hayo mapipa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Pajengwe Misikiti kila Stesheni ya SGR

    Rekebisha kidogo, Sio misikiti bali Musallah ( Chumba cha kusalia) yaani 5m x 5m chumba kidogo tu kinatosha kabisa.. Wakati abiria wanasubiri kuondoka na muda wa Swala umefika.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Oil sahihi ya subaru SJ5

    Hiyo Subaru ilitengenezwa kwa soko la Japan, nchi yenye baridi kali ndio maana ilitakiwa itumie oil ya 0W20 , kama upo Dar, tumia oil yenye grade 10W30 synthetic.. Grade ya oil inategemea hali ya hewa gari inapotumika sio aina ya gari. 0W20 ni nyepesi sana kwa hali hewa ya kwetu. Fanya utafiti...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Jiji lisilo na maji wala barabara litakuwaje mwenyeji wa AFCON?

    Kwa hiyo hao wengine waliondaa hayo mashindano ya AFCON sijui Cote de Ivoire, Cameroon, Gabon, Equtorial Guinea wana maendeleo gani ya kimiundo mbinu ya ajabu kutushinda sisi? Mbona ni mafukara tu pangu pakavu na wamefanya?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Africa Tuna Tatizo Gani? Japo Tuna rasilimali Lukuki, Kutengeneza Mabilionea Lukuki, Iweje Kwenye Orodha ya Mabilionea 100 wa Forbes, Mwafrika ni 1

    Unamaanisha U.S sio? Manake U.S ndio inaongoza kuuwa watu duniani, sasa juzi wameenda kuuwa WaVenezuela 400 ya nini?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Unatoaje weusi kwapani na shingoni?

    Huo uweusi jiulize sababu ni nini, weka madawa ya kupaka pembeni. Fuatilia na ufanye utafiti dalili ya kiafya inayoitwa Insulin resistance, Ni sawa na gari itoe moshi mzito mweupe halafu unaipeleka car wash waisafishe labda itaacha kutoa moshi. Insulin Resistance is real.
  12. B

    JamiiForums Tanzania IDF usiku huu yaanza kuwatandika Mboko wa-Houth wa huko Yemen!!!

    Israel ina hasira sana , kila akiangalia alichofanyiwa na Ayatollah hasira zinapanda sana..
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hii hukumu ya kuwaruhusu WATOTO wa kiislamu waliozaliwa nje ya Ndoa kurithi Mali za baba zao ikifika na hapa Tanzania sijui itakuwaje?!

    Sikiliza wewe usiejua kitu, kama kitu hujui uliza.. Uislam umempa haki baba mtu agawe mali yake apendavyo wakati yuko hai, anatakiwa awagawie wote watoto anaodhani ni wakwake walio nje ya ndoa madhali yuko hai.. Isitoshe bado pia kapewa nafasi tena kuandika wasia / wosia ya mali yake sio zaidi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hii hukumu ya kuwaruhusu WATOTO wa kiislamu waliozaliwa nje ya Ndoa kurithi Mali za baba zao ikifika na hapa Tanzania sijui itakuwaje?!

    Kwahiyo hiyo sheria ya mtoto wa nje ya ndoa ili arithi sharti iwe lazima mtoto afanane na babayake, asipofanana na babayake harithi.. Basi itakuwa sheria ya ajabu sana hiyo hahahahhaa
Back
Top Bottom