Sio kwamba Yanga hawana Timu nzuri...wana timu nzuri ila hawana Kikosi kikubwa chenye kupambana Msimu Mzima...
Kinacho tokea Leo ni matokeo ya kuwa na kikosi kidogo hakuna mbadala .....
Huwezi sema yanga hawana Timu nzuri lakini ukiangalia kwenye Mechi 25 Kapoteza mechi 1...
Aina ya ubora wa Wa Yassin Mustapher na Adeyum
Yassin ni mzuri sana kwenye kuzuia ana panda juu na ana rudi fasta kujaza nafasi pindi timu inapo pokonywa mpira....
Tofauti na Adeyum Kurudi ni mzito mmno kitu ambacho hata kwajana ilikuwa ni hatari mmno.
Kiungo kikiwa hovyo Basi Fei Hawezi...
kwanza kabisa nipende kutumia Nafasi hii kuwapa Pole Mashabiki Na Wapenzi wa Club ya Yanga kwa kipindi hiki ambacho timu ya Wananchi inapitia kwenye matokeo yasio ridhisha kwa mechi za mzunguko wa Pili tangu umeanza....
SWALI JE YANGA ILIKUWA TAYARI KUCHUKUA UBINGWA?
Wakati ligi ina anza...
ikijengwa na ika kamilika hii bandari ya bagamoyo ipo siku Tuta mkumbuka JPM....
JPM alikataa yale masharti yaliyo kuwepo baada ya kuona ni unyonyaji ulio kidhiri....
Ndungai toka mwanzo alitaka hii bandari ijengwe....
Lazima uangalia kuwa hapa kuna kitu..
Ila sawa Wa afrika Ku uzwa tumesha zoea
Boss wa WCB hataki kumaliza bifu na hizi media kubwa...
Anajua kabisa ngoma zao ziki achiwa zipigwe kwingine media yake itayumba hato pata wasikilizaji...
Sahizi kwenye bongo freva kila mtu anaona kuimba tungo zenye ukakasi ni fasheni....ukweli kuna nyimbo unasikiliza mwenyewe chumbani umejifungia huwez kusikiliza na watoto karibu..... kwa sasa kwenye uwandishi ambao ukisikiliza unaelewa kimeibwa nini ni nyimbo zinazo zalishwa chini ya KING Music
Kituo nilicho pigia kura hakina watu kabisa.
Nimekuta watu 10 mimi nikiwa wa mwisho. Mpaka sahizi mtu ni moja mmoja sana. Mwitikio umekuwa mdogo sana watu kupiga kura
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.