Viongozi wa Yanga Jitokezeni Museme na Mashabiki Wenu

brave_3

JF-Expert Member
Jun 9, 2014
1,187
705
kwanza kabisa nipende kutumia Nafasi hii kuwapa Pole Mashabiki Na Wapenzi wa Club ya Yanga kwa kipindi hiki ambacho timu ya Wananchi inapitia kwenye matokeo yasio ridhisha kwa mechi za mzunguko wa Pili tangu umeanza....

SWALI JE YANGA ILIKUWA TAYARI KUCHUKUA UBINGWA?

Wakati ligi ina anza Viongozi walikuja haďharani na kusema mwaka huu lazima tuchukue ubingwa..kitu ambacho mashabiki wamekibeba na kutembea nacho akilini mwao. Kitu ambacho hakikuwa kina ukweli..
Ukweli ni kwamba Yanga Tatizo analo pitia ni dhahiri pia wachezaji wa yanga Wamechoka ukubwa wa kikosi cha Yanga ni dhahiri hakina ukubwa huo tulio aminishwa..
Leo ilitakiwa mashabiki wajue ukubwa wao kwa kuangalia ubora wa kikosi.
MFANO
Je Yanga ilifikilia nini kuwa acha baadhi ya Wachezaji ambao leo hii wange kuwepo tungesema nafasi bado ipo..
-Alitoka Juma Abdul akaja Shomari..Juma abduli alikuwa mzuri upande ule wa kulia. Ameondoka Kabaki Shomari na Poul Godfrey ambaye hana Fitness.. KI UHALISIA yanga Ili muhitaji JAMA ABDUL
-Alitoka Japhari Mohamed beki ya Kushoto akaingia Yassini Mustapher..akabaki Adeyum Salehe...lakini Adeyum aliye baki hakupi kile ambacho Japhari ange tupa..
-Alitoka Molinga Top scorer wa Yanga kwa Msimu 2019/2020. Wakaingia wakuna Surpong,Yocouba,Wazir Jr ambao wanaonekana Kupambana sana ila bado hawako kwenye Form..tuliacha Mbachao kwa Msala Upitao

-kwenye ukabaji ali ingia Tonombe Mukoko na zawadi Mauya..Siku Mukoko asipo cheza unaona uwanja Uki inama balance ya timu una kosekana.

-Aliondoka Kelvin Yondan mbadala wake alikuwa ni Mwamnyeto..pia Yanga hapa ni dhahiri club ina muhutaji..

-Aliondoka Mrisho Ngasa wakaja wachezaji ambao ki uhalisia bado wana chechemea kuipa msaada Yanga..


ITOSHE kusema Yanga wana kikosi Kidogo..Wanacho pitia Azam Ndicho wanacho pitia Yanga sahizi ..kwa kababu hata ukifanya rotation ya wachezaji hupati utakacho tarajia..
YANGA ilitakiwa iyanzie pale ilipo ushia msimu wa 2019/2020 kwa wachezaji walio kuwepo hawakuwa na muunganiko pia wakatimua waka anza upya tena.

Pili mpira sahizi niwa mbinu na sio mazoea yule kocha aliye anźa msimu mzungu alikuwa anatafuta goli alafu ana kuzuia usifunge...
Nafasi bado ipo ila kuna kazi ya kufañya sana
 
Sijui kama watapata hata nafasi ya pili, manake Azam nao wanakuja kwa kasi
 
JamiiForums-791612443.jpg
 
Back
Top Bottom