Mshana Kanali Ngemela Lubinga, alikuwa Msemaji wa jeshi, baada ya kustaafu akateuliwa kuwa katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM anayehusika na uhusiano wa kimataifa, .
Wakuu JF amani iwe nanyi,
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kumkuta Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kesi ya kujibu kwenye mashtaka ya uhaini, mjadala mkubwa umehamia kwenye orodha ya mashahidi wa utetezi.
Katika uamuzi wake kuhusu maombi ya utetezi, Mahakama Kuu imeridhia waitwe viongozi...
Kuna Onyo kubwa sana Watawala wanapewa kuhusu namna wanavyom treat Lissu, hizi ni Ishara kuwa Mungu anatuma Ujumbe
Wakiendelea kufumba Masikio kuna KUBWA litatokea
Wekeni hii post kwenye Maktaba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.