Recent content by BrainPower

  1. BrainPower

    Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Watanzania tuna shida. Wachangiaji wengi wa Uzi huu hawaoni faida kwa wagonjwa. Au kwasababu nyie mu wazima ? Mgonjwa aliyekosa kitanda jana na kulala chini. Leo kapata kitanda Hata hilo hamuoni ? Kuhusu sheria ya manunuzi achieni PPRA BP. 2015
  2. BrainPower

    Rais alisoma hotuba kwa kutumia kifaa kiitwacho TELEPROMPTER

    Kinaitwa Teleprompter BP. 2015
  3. BrainPower

    Tanzania Internet Rates as of May 25, 2011 (Comparison)

    Habari za sasa hivi. Nilikuwa ninaitafuta hii thread. Naomba tufanye comparison rates za 2013. B.P 2013
  4. BrainPower

    Kwa nini wachaga ni wabaguzi sana katika vyeo- bila kuwa mchaga hupandi cheo

    Message sent . Sina cha ziada..... B.P 2013
  5. BrainPower

    Tanzania Internet Rates as of May 25, 2011 (Comparison)

    Mkuu, Unaweza pata comparison za rates za maproviders wanaotoa dedicated links. 512kbps -> 10mbps B.P (2011)
  6. BrainPower

    Matukio Live kupitia WEBACM-Nipo Live nime maoni yako sasa hivi.

    Asante Uncle Rukus, Weekend Njema B.P
  7. BrainPower

    Matukio Live kupitia WEBACM-Nipo Live nime maoni yako sasa hivi.

    @ Mathias Byabato . Link haionekani. umeibadilisha au is it just me ? B.P
  8. BrainPower

    ippmedia wamebadili website yao?

    Domain Name: ippmedia.com Created on..............: 2009-10-09 Expires on..............: 2011-03-25 Needs to Be Renewed....
  9. BrainPower

    Natafuta Software ya Ku-Control Internet Shared Connection ya Airtel

    @tototundu Tafadhali nifafanulie zaidi. Je a) Unatumia usb modem connected to a PC (je ni winxp or win vista or win7 ?) alafu through ICS unashare distribute internet from the PC (je ethernet port to a wifi router / AP) AU b)unatumia wifi router ya Airtel which distibutes directly kwenda...
  10. BrainPower

    Mapinduzi ya simu za mkononi... Tuandike historia.

    1. Inanikumbusha simu ya kwanza kuiona. Ilikuwa ni Mobitel aina hii 2. Then zikaja motorola zile ambazo unaweza kuweka battery za kawaida (betri za redio) kama ukiishiwa charger. 3. Then zikaja Ericson nick named 'Mshindi' 4. Then ikaingia Nokia era..6600, 2100, 1100 , 3100, Motorola pia...
  11. BrainPower

    Nini kirefu cha L.L.B na L.L.M

    Zote ni Shahada . Maana zake ni LL.B = Bachelors of Law LL.M - Masters of Law B.P (2011)
  12. BrainPower

    Piki piki ya miguu 3

    Ningependa kuuliza. a.Imetembea kilometer Ngapi b. Brand gani (Bajaji au Piaggio au ??) B.P (2011)
  13. BrainPower

    Internet

    Za Jumapili, Kuna Dedicated connections - Ambayo link yako is not shared with any other person. I would recommend a 512kbps link for 15people. Average prices for 512kbps =$700/ month Kuna Shared connections - Ambayo link yako ni shared na watu wengine. This is not as fast as the first one but...
  14. BrainPower

    zantel Router unlocked!

    And would you mind sharing with others in the forum.......... B.P (2010)
  15. BrainPower

    An sms based application - msaada

    I Wish to Differ... It doesn't need super engineers. It just needs 'smart' and 'innovative' peers. Check out RapidSMS / SMS Application Framework. Look at the case studies - how sms has helped in Africa. Start from there... Hope it helps B.P (2010)
Back
Top Bottom