Piki piki ya miguu 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Piki piki ya miguu 3

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Masika, Mar 5, 2011.

 1. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nauza piki piki ya miguu mitatu TWO STROKE YA INDIA
  -imetumika
  -bado inatembea,injini iko safi,inakula mafuta vizuri lita moja kwa karibu km 30
  -bodi iko safi
  -Inafaa kufanyia biashara
  -Tafuta fundi uje naye akukagulie
  -iko Dar es salaam magomeni mapipa
  -Imelipiwa kodi na 3rd part inshuarensi kwa mwaka mzima
  -Bei Tsh 2m haina mazungumzo
  Mawasiliano 0713473166
  madalali wanakaribishwa lakini bila kuathiri changu
  -picha baadae
  KWA MWENYE SHIDA ANAWEZA KUNITAFUTA NA KUJA KUIONA KUANZIA 6AM MPAKA 10PM KILA SIKU
  -Usibip ni bora utume sms utajibiwea
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Very good, straight forward. Napenda watu walionyooka bila kupinda-pinda maneno. That's how business should be done.
   
 3. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  You are welcome
   
 4. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ningependa kuuliza.
  a.Imetembea kilometer Ngapi
  b. Brand gani (Bajaji au Piaggio au ??)

  B.P (2011)
   
 5. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  odometer ishakufa mzee,iliishia 8400km
  ni bajaj 2stroke ya india baba,sema!
   
Loading...