Natafuta Software ya Ku-Control Internet Shared Connection ya Airtel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Software ya Ku-Control Internet Shared Connection ya Airtel

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tototundu, Mar 10, 2011.

 1. tototundu

  tototundu Senior Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Picture this scenario, Natumia modem ya kasi ya Airtel (3.6 Mbps) nyumbani (ambayo nimei share nyumba nzima kwa kutumia Internet Connection Sharing) kuperuzi hapa na pale, mtoto wangu wa kiume yuko chumbani kwake anadownload movies kwa kutumia utorrent, mtoto wangu wa kike yupo chumbani kwake busy na youtube; bottom line 3GB zangu kwenye modem zinaisha kwa kasi ya ajabu.

  Kwa kuwa mimi ndio nakaa na modem so nacontrol connection yenyewe, natafuta software ambayo itaniwezesha ku block bittorrent connections na pia kuzuia video zisi download toka youtube.

  Kwa sasa natumia wireshark, lakini hainisaidii sana, ninachoweza kuona ni TCP, UDP na HTTP connections zote zikipita kwenye modem lakini siwezi kuzi block.

  Wataalam naomba msaada.
   
 2. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  si uwanunulie modem zao au udisable network sharing na network discovery! That sim lyk izy option 2 me!
   
 3. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  @tototundu Tafadhali nifafanulie zaidi.

  Je

  a) Unatumia usb modem connected to a PC (je ni winxp or win vista or win7 ?) alafu through ICS unashare distribute internet from the PC
  (je ethernet port to a wifi router / AP)

  AU

  b)unatumia wifi router ya Airtel which distibutes directly kwenda computer na laptops kupitia wifi.

  B.P
   
 4. tototundu

  tototundu Senior Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sina nia ya kuwazuia kuangalia wikipedia, facebook etc, kwa nini kuingilia gharama ya modem nyingi wakati technology inaruhusu sharing
   
 5. tototundu

  tototundu Senior Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Setup iko hivi,
  - Nimeunganisha laptop na Modem ya 3G ya Airtel
  - Kutumia ethernet port ya laptop nimeconnect network cable kwenda kwenye 8-port network switch/hub ambayo sasa hawa binadamu wengine wana konnect laptop zao kupitia network cable
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Sasa mkuu kama hutaki hoa binadamu wengine wadownload, tafuta Proxy software, kwa kutumia hiyo unaweza kublock UDP NA FTP hizo ni port za downloading, mi natumia Analogx Proxy ni ya kizamani lakini nimeizoea, hope zipo nyingine nzuri kabisa, just googlize Proxy
   
 7. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
Loading...