Recent content by Brainmachine

  1. B

    Hospitali ya Taifa Muhimbili hushikilia maiti hadi deni lote lilipwe. Maiti zitokazo ICU deni hufikia hata zaidi ya 5mil

    Ndio ujue ni bora tuwe ndani ya ukoloni huenda tukafanikiwa kwa huduma za kijamii na misaada ya kiubinadamu. Hapa tupo kwenye kifungo kusichoisha japo tumepata Uhuru wa bendera. Serikali yetu ni mzigo kabisaaaa
  2. B

    Jeshi la polisi, shame on you!!

    Nachowaonea huruma na kutojielewa hao police ni kitendo cha kutumwa na pasipo kuhoji. Wakiambiwa tu piga wanapiga, wakiambiwa piga mabomu sasa hata kama wananchi wanadai haki zao za msingi ambazo zikipatika nao pia watanufaika. Yaan wao wapo wapo tu hawajitambui kabisa
  3. B

    Kwa akili ya kawaida huwezi kumchagua mtu uliempa dhamana akajiuzulu

    Akheri ya kufa kuliko kufariki.. Huyo mtulia hajitambui kiakiri, kifkra na kiroho. Na yeyote atakayempigia mtulia kura huyo amelaaniwa na yeye pia atakuwa hajitambui kifikra na kimawazo kwa kumchagua punguani kama huyo. Doesn't make sense to make your vote for stupid guy like this.
  4. B

    Nikaribisheni

    You're most welcome Aniva Sent from my HUAWEI Y530-U051 using JamiiForums mobile app
  5. B

    Mwanafunzi wa SUA amuua mpenziwe kwa kumnyonga

    Wamelelewa vibaya sana hao Wakurya na hata ivyo tumezidi kuwasifu kwa upumbavu na ukatili wanaoufanya. Sasa madhara yake ndio hayo ya mauaji yasiotarajiwa. Naomba waende Tanga wakafundishwe jins ya kumhandle mwanamke.
  6. B

    Ushauri: Mume wangu hanipi tendo la ndoa, najisugua na vidole hadi nafika kileleni

    Ushauri wa bure.. Usifuge kucha utajichana hiyo biashara yako. Maana vidole ndio mumeo kwa sasa. So keep clean always for your safety.
  7. B

    Hofu yatanda: Msanii Q-Chillah hajulikani alipo siku ya tatu sasa

    Mh! Wasiojulikana wamefanya yao nini??
  8. B

    Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

    Samahi mtoa udhi naomba kujua nini maana ya IQ
  9. B

    Morogoro: Wabunge wa CHADEMA warudishwa rumande, hakimu anaumwa!

    Kwa mbaaali iv naona kama bado mfumo wa chama kimoja ndio upo kwa nchi hii. Mfumo wa vyama vingi kumbe bado kabisa haupo kwa nchi hii.
  10. B

    Mabomu yarindima Moshi ili kusafisha njia Lowassa apite

    Taarifa kama ina utata kwa mbaaali. Mabadilikooooo
  11. B

    Kwa jicho la kiroho: Sakata la Dr. Slaa

    Kiongozi nimeyajua mengi sana kupitia mada hii. Ukweli unajionyesha tena sana tu na hao wanaobeza ni miongoni mwa makundi na wafuasi wa ndio mzee. Lakin Dr Slaa kapoteza muelekeo wa maisha. Achana na wanaobishana na ukweli kuufanya uwe uongo
  12. B

    CCM haijafia mikononi mwangu (JK). Je, itafia mikononi mwa nani?

    Tutaona mengi kwa hali hii..Ewe JK hembu toeni ushauri japo kidogo tu kwa huyo jamaa. Maana hakuumii chama tu na wananchi pia tunaumia.
  13. B

    Spika Ndugai adai hajapata barua ya kujiuzulu kwa Nyalandu, anamtambua kama mbunge wa CCM. Adai akija Bungeni atampokea

    Ni zama za ukweli na uwazi utake usitake uonevu ndio unakaribia mwisho wake
Back
Top Bottom