Badawisaidi
Member
- Aug 9, 2017
- 49
- 55
Karibu sana.Habari zenu. naitwa Aniva ni msichana 25-30's Age
Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
Karibu sana.Habari zenu. naitwa Aniva ni msichana 25-30's Age
Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
siwezi kukusahau sehemu kama hizi pimbi wanguNashukuru kipenzi kwa kunishtua maana ndio kitengo change.
Karibu mgeni we ni me o me?
Hivi unamkumbuka bibi erick otieno aka husna bosslasy?Karibu pm nasimamia kitengo hicho utijuta Aniva

MmhNifuate pm nikupe mwongozo wa humu JF usije jichanganya ukapigwa BAN
Karibu mgeni tena wewe pita hadi kuleeeeNikaribishe na Mimi

Kama husna bosslady halafu bado hawajifunzi tuMara nyingi id za kike zinazojitambilisha zikiingia jf huwa ni za kiume. Ili kuvuta attention.
KaribiaHabari zenu. naitwa Aniva ni msichana 25-30's Age
Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
Ndio maana chemchem ya mahaba na upendo kila nikuonapo.siwezi kukusahau sehemu kama hizi pimbi wangu
Hii kumbukumbu kweli maana naona tayari nimekata na tamaaHivi unamkumbuka bibi erick otieno aka husna bosslasy?
Nakukumbusha tu mimi![]()
![]()
![]()

Usikate tamaa bhana nenda uje utupe ushuhuda humuHii kumbukumbu kweli maana naona tayari nimekata na tamaa![]()

Ndio maana chemchem ya mahaba na upendo kila nikuonapo.

ila j asije sikia wala kusoma hapaHapo kwenye kuleeee naona tayari nimefika Hata kabla ujamalizia sentenceKaribu mgeni tena wewe pita hadi kuleeee
Muite mchina mweusi aje bhana
Ndo inavyotakiwa,hutakiwi kuchelewaHapo kwenye kuleeee naona tayari nimefika Hata kabla ujamalizia sentence
Unataka ukaribishwejeHabari zenu. naitwa Aniva ni msichana 25-30's Age
Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
Usikate tamaa bhana nenda uje utupe ushuhuda humu
ila j asije sikia wala kusoma hapa