Jeshi la polisi, shame on you!!

Jeshi la polisi, shame on you!!

Yule alie uwawa jana kwa mapanga leo polisi wanatoa tamko kwamba eti yatakua matatizo yao ya kipindi cha nyuma.... Kama yule mwingine (sijui ni yupi ) kutokana na ardhi.... Hivi kweli huo ndo uchunguzi wa polisi Jamani.?
 
Ben saanane!!! Sometimes najipa moyo ...

..wako wengi sana wameumizwa na jitihada zikafanyika ionekane wanaohusika ni chadema.

..Sijui kama unakumbuka wakati wa Dr.Slaa wananchi wangapi waliumizwa.

..kuna mtoto wa miaka 7 au 9 alipoteza maisha kwa kupigwa na risasi wakati Polisi wakitawanya mkutano wa Chadema.

..Wako walioawa Singida, Morogoro, Geita, Arusha,..orodha ni ndefu kwa kweli.
 
Hasa kule Canada kila siku mauaji yatokea hatujasikia Waziri wao Mkuu akilaumiwa.Dr Mihogo kipindi akiuza Supermarket alishuhudia mauaji sasa sisi tunashangaa nini.

Ni wakati wa kumuunga mkono mtukufu yuleee
Hivi nyie ni binadamu kweli?
 
Niliona siku ya uchaguzi mdogo wa Kinondoni watu wote walokuwa kwenye tukio wakieleza jinsi boksi la kura lilivyobebwa na kurejeshwa lakini alivyoulizwa msimamiz wa NEC akakana kabisa kusema lolote. Mtangazaji Spencer Lameck akamsisitiza akagoma kusema alichokiona au kutokuona!
Ndio nikajiuliza mtu 'mjinga' kama huyu aliaminiwaje na tume kusimamia uchaguzi! Baadae kupitia maelezo ya wengine ndio nikagundua kumbe kuna kazi Tanzania ambazo ukitaka kuzifanya hata kama sio mjinga basi inakupsa uwe. Hata hili sishangai!
 
Mkuu Lissu ni kidampa tu hana chochote pia msaliti wa nchi hii. Yaani watumie kodi zetu kuleta wapelelezi toka nje. Ikiwa hivyo hata mimi nitaandamana kupinga ujio wa wapelelezi toka nje!!
Ushasema zetu sio zako..... Halafu haki haiombwi.... Endelea kuropoka... Siku yakikikukuta uyamalize huko huko
 
Nachowaonea huruma na kutojielewa hao police ni kitendo cha kutumwa na pasipo kuhoji. Wakiambiwa tu piga wanapiga, wakiambiwa piga mabomu sasa hata kama wananchi wanadai haki zao za msingi ambazo zikipatika nao pia watanufaika. Yaan wao wapo wapo tu hawajitambui kabisa
 
Mkuu Nyani Ngabu heshima kwako.
Leo umeleta hoja ya msingi sana.
Popote duniani polisi hutoa updates hata ya asilimia kadhaa ya uchunguzi kila stage.
Shangaa Tanzania tunaambiwa vyombo vya usalama vinachunguza na vitatoa majibu itakabobidi. Sasa je unajiuliza ni lini?!
Wao watasema tuviachie vyombo vya dola.
Ni kweli tumeviachia sasa mpaka lini?
Wanasisitiza yeyote mwenye taarifa za kuwasaidia awapelekee maana wana nia njema.
Unajiuliza kwani hiyo nia njema ni lazima kuisema sema!?..

Anyway acha tu wajifanyie wanavyotaka.

Maana lile la Ben Sanane lina mwaka na miezi mitatu sasa na lenyewe bado wanachunguza.
Hawajui kama kafa au yu hai.
Hao ndo PT. POLICE TANZANIA
Cc: Nyani Ngabu
 
Hayo mashambulio na mauaji mbona ni vitu dogo na vya kawaida tu!!
Hata Ulaya na America mambo haya yanatokea sana. So tusiyakuze kiviile...

Yaonesha wewe ni Dk. Slaa. Kama wewe siyo Slaa basi umemnukuu yeye haya uliyosema ndiyo hayo hayo alisema yeye. Sina hakika kama ameendelea kuyahuisha (ku update) hivyo hivyo hata huyu binti wa NIT alipouliwa kinyama na ambao kamanda Mambosasa alikiri kuwa polisi.

Ama kweli kusipozibwa ufa ukuta shuruti ujengwe.
 
Mkuu Nyani Ngabu heshima kwako.
Leo umeleta hoja ya msingi sana.
Popote duniani polisi hutoa updates hata ya asilimia kadhaa ya uchunguzi kila stage.
Shangaa Tanzania tunaambiwa vyombo vya usalama vinachunguza na vitatoa majibu itakabobidi. Sasa je unajiuliza ni lini?!
Wao watasema tuviachie vyombo vya dola.
Ni kweli tumeviachia sasa mpaka lini?
Wanasisitiza yeyote mwenye taarifa za kuwasaidia awapelekee maana wana nia njema.
Unajiuliza kwani hiyo nia njema ni lazima kuisema sema!?..

Anyway acha tu wajifanyie wanavyotaka.

Maana lile la Ben Sanane lina mwaka na miezi mitatu sasa na lenyewe bado wanachunguza.
Hawajui kama kafa au yu hai.
Hao ndo PT. POLICE TANZANIA
Cc: Nyani Ngabu

Utendaji wetu [kwenye karibu kila nyanja] ni mbovu sana.
 
..wako wengi sana wameumizwa na jitihada zikafanyika ionekane wanaohusika ni chadema.

..Sijui kama unakumbuka wakati wa Dr.Slaa wananchi wangapi waliumizwa.

..kuna mtoto wa miaka 7 au 9 alipoteza maisha kwa kupigwa na risasi wakati Polisi wakitawanya mkutano wa Chadema.

..Wako walioawa Singida, Morogoro, Geita, Arusha,..orodha ni ndefu kwa kweli.
Mkuu ndio maana wakati wabunge wa Chadema wanamshangilia Kikwete wengine tulishangaa mno!!! Unajua upinzani haujielewi na mbaya zaidi watu kama nyie ambao ni great thinker mmeamua kuwaunga mkono tuuuu hata pale wanapohitaji kukosolewa! Ndio maana sasa tunakula fimbo bila huruma na hatuwezi hata kuvuta nguvu ya umma against it ....very very bitter truth ambayo hamtaki tuseme ....tuna kazi ya kujipanga upya ...
 
Mleta mada kaja kuwang'ong'a watu visogoni. Kwa ukarimu wa kitanzania inabidi tuchangie kile anachopenda kukisikia.
Mi ang'onge au amaanishe shauri lake bana.... Ila kwa hali inayo endelea nchini tuweke mzaha pembeni.. Vifo vinaumiza
 
Hii siyo sawa kabisa.

Inaenda kukaribia miezi sita sasa tokea Tundu Lissu anusurike katika shambulizi la kutaka kumuua.

Tukio lilitokea mchana kweupe, tena kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa bunge na serikali.

Cha ajabu kabisa [at least kwangu mimi], hakuna hata updates kutoka kwa jeshi la polisi kuhusu huo uchunguzi umefikia wapi.

Hata kutaja person of interest hakuna! Kutaka suspect hakuna!

Sasa watu tuwafikirieje hao polisi?

Au ni mimi tu ambaye sijui kuwa wanatoa updates?

Huu ukimya wa polisi unatoa uhalali kwa tuhuma za uhusikaji wa serikali katika zoezi zima.

Ajabu kabisa!!!
Ndugu ulitegemea nini??? Kama kuvaa tisheti iliyo andikwa pray for Lissu unakamatwa na kuswekwa ndani!!!, Unategemea nini chanya kutoka pande hizo?
 
Back
Top Bottom