Recent content by BozoBozo

  1. BozoBozo

    Kigogo 'kizimbani' kwa kumiliki bodaboda 420

    Kabla ya kichangia, chukua muda kujifunza hesabu kidogo.
  2. BozoBozo

    Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

    Takbir, Allah Akbar, Allah Akbar, Allah Akbar hatimae tunaelekea makaburi ya Mwinyi Mkuu kumpumzika Shekhe Ilunga Hassan Kapungu.
  3. BozoBozo

    Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

    Takbir, Allah Akbar, Allah Akbar, Allah Akbar hatimae tunaelekea makaburi ya Mwinyi Mkuu kumpumzika Shekhe Ilunga Hassan Kapungu.
  4. BozoBozo

    Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

    Niko msibani hapa Mbezi Goigi ambako mwili wa marehemu Ustadh Ilunga Hassan Kapungu umelala. Kitu kizuri ni kuwa hakuna alietetereka kwa msiba huu kwani kila mmoja wetu anajua kila nafsi itaonja mauti na huu ni muda wa Ustadh Ilunga. Kizuri kingine ni kuwa amefariki kwa ugonjwa ambao ulimuanza...
  5. BozoBozo

    Ushauri wa Bure kwa ZZK!-Congratulations..But,,,!, Be Calm!, Keep Quite!, Don't Ridicule Them!.

    Kwa CHADEMA kuwa na busara, nidhamu, utii na mapenzi ya chama ni KUTOHOJI chochote unachoona hakiendi sawa. Ukihoji tu basi we unakuwa msaliti na usie na mapenzi na chama. Napata taabu sana watu wanapoona kiwa ni sawa kwa ZITTO kutendwa alikotendwa ila si sawa kwa yeye kuonesha au kuelezea isia...
  6. BozoBozo

    TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

    R.I.P Muheshimiwa Waziri.
  7. BozoBozo

    Nalipia dstv premier 135,000/= nalipia tanesco umeme 30,000/= imekaaje wakuu?

    Wakati mwingine ni vizuri kujitangaza mkuu, ukisubiri watu wajue kuwa una Ddtv na unasomesha watoto wawili kwa mamilioni watu hawajui. Hapo kiongozi umesahau kututajia mshahara wako, gari unaloendesha, nyumba ni ya kupanga au umejenga, screen unayoangalizia Dstv ni flat na ni Lcd au Led, una...
  8. BozoBozo

    Investigation Officer PCCB

    Utakaa sana kusubiri hilo litokee.
  9. BozoBozo

    Investigation Officer PCCB

    Akili zangu ziko timamu na ndio maana nikasema kitu ambacho nlikuwa nakijua. Wakupimwa akili ni wewe unaeacha kujadili hoja na kuanza kumjadili mtu.
  10. BozoBozo

    Investigation Officer PCCB

    Dah! Kama kuna mtu kanishangaza ni wewe ndungu yangu. HATA KAMA BABA YAKO KATAJWA KUWA MPOLE. Ebu nifafanulie ndugu, yaani wewe umejips mamlaka ya kuamua nani amfanyie nini mwenzie na nani ariact vp kwa mwengine? Wa kugrow hapa ni wewe ndugu yangu. Labda nikuulize, usingechangia hii mada...
  11. BozoBozo

    Investigation Officer PCCB

    Haya mrembo!!!
  12. BozoBozo

    Investigation Officer PCCB

    I understand step mum, the problem is you confuse me sometimes. You say U wonder I don't know even to construct a single sentence in swahili and yet you understood and replied to my every conversation and now you have swirched to english, luck enough you sugar daddy (my father) took me to a good...
Back
Top Bottom