Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

Status
Not open for further replies.
Kiingereza cha Lissu kina ukomo

Utumwa ni mbaya lakini utumwa wa akili ni mbaya sana... wewe kwako msomi ni yule fundi wa kuongea kiingereza? Wachina wanapeta kwa kuongea kichina, wajapan wanapeta kwa kuongea kijapan, korea wanapeta kwa kuongea kikorea....shame on you... Mental Slavery ...miaka 52 ya uhuru mnawapa wazungu kila kitu kwa vijicent mnavyowekewa uswis... Soon mtakiona chamtema kuni...
 
Kuongea kwa ufasaha lugha za kimataifa ni moja ya sifa katika taaluma ya mtu,sasa inakuwaje mwanasheria mkuu wa Chadema anakuwa na kiingereza cha LUKU.Kwa hiyo akisimamia kesi za kimataifa ataambatana na mkalimani ili aendelee kujiachia na lugha ya taifa?
 
Hata Rwanda si lolote si chochote kwa Tanzania lakini kuna mataifa yanayoitia kiburi...same kwa Zitto ambaye technically amejimaliza kisiasa, anafurukuta kwakuwa kuna fedha nyingi za CCM plus MNCs zenye kufaidi rasilimali zetu! Wanajua fika kuwa ile mikataba ya kishenzi ya kumiliki maliasili zetu 100% tena kwa miaka 99 itafutiliwa mbali!... Zitto alichokifanya ni kujaribu kudhoofisha CDM huku akijua kuwa huu ndo mwisho wake kisiasa ndani ya CDM lakini atakuwa na $$ kule Uswis...

Maelezo yako hayana mashiko kwa watu makini. Kawadanganye watoto wa chekechea.
 
Utumwa ni mbaya lakini utumwa wa akili ni mbaya sana... wewe kwako msomi ni yule fundi wa kuongea kiingereza? Wachina wanapeta kwa kuongea kichina, wajapan wanapeta kwa kuongea kijapan, korea wanapeta kwa kuongea kikorea....shame on you... Mental Slavery ...miaka 52 ya uhuru mnawapa wazungu kila kitu kwa vijicent mnavyowekewa uswis... Soon mtakiona chamtema kuni...
Swali la kujiuliza,kwani Lissu alifundishwa kwa kiswahili kadegree chake cha sheria? sasa iweje ashindwe kutumia lugha ya kufundishiwa mahakamani.
 
Kuongea kwa ufasaha lugha za kimataifa ni moja ya sifa katika taaluma ya mtu,sasa inakuwaje mwanasheria mkuu wa Chadema anakuwa na kiingereza cha LUKU.Kwa hiyo akisimamia kesi za kimataifa ataambatana na mkalimani ili aendelee kujiachia na lugha ya taifa?
Pimbi ni Pimbi tu kamwe hawezi kuwa sungura... Track records za Mhe Lisu ziko wazi, amemfanya AG aonekane armatures kwenye medani ya sharia, ana papers kibao alizozichapisha, M/Kiti wenu wa CCM anamtambua kuwa Lisu ni hatari kwa uhai wa CCM! BTW basha wako ndo alimtunukia uwakili kama wale majaji wasiokuwa na elimu ya sharia?...Kwa Lisu chupi zitawabana sana mwaka huu...
 
Lissu ni mwepesi sana katika sheria
 
Swali la kujiuliza,kwani Lissu alifundishwa kwa kiswahili kadegree chake cha sheria? sasa iweje ashindwe kutumia lugha ya kufundishiwa mahakamani.
Lisu ni bingwa wa kucheza na sharia, alichokifanya ni kutaka umma wajue Msando alichokuwa anakitetea ni Posho za Ubunge na uenyekiti wa PAC kwa gharama yoyote ile hata ikibidi kuidhoofisha CDM!...Upande wa pili aligundua kuwa Msando bado ni kinda hivyo amekremisha mistari ya kiingereza so mistari ile ile Kiswahili itamchanganya na kupelekea kutoa maana na ujumbe tofauti! Ndiyo maana alianza kupanic! Chezea Lisu wewe... "Ni bora mimi nikose Urais kuliko Lisu aingie bungeni" JK
 
Mnakera sana nyie chadema wadini na wabaguzi...

Nani Mdini na Mbaguzi hapa Tanzania zaidi ya CCM? Zitto ni mtumishi wa CCM hivyo ni Mbaguzi mwenye lengo la kuhakikisha MAFISADI wanaendelea kudhulumu mali za Watanzania.... Zitto atashindwa hila zake, guess what, atamgeukia Msando na kuanza kumshambulia kuwa yeye ni MCHAGGA na kuwa amemuingiza mkenge!...Mark my word...
 
Lisu ni bingwa wa kucheza na sharia, alichokifanya ni kutaka umma wajue Msando alichokuwa anakitetea ni Posho za Ubunge na uenyekiti wa PAC kwa gharama yoyote ile hata ikibidi kuidhoofisha CDM!...Upande wa pili aligundua kuwa Msando bado ni kinda hivyo amekremisha mistari ya kiingereza so mistari ile ile Kiswahili itamchanganya na kupelekea kutoa maana na ujumbe tofauti! Ndiyo maana alianza kupanic! Chezea Lisu wewe... "Ni bora mimi nikose Urais kuliko Lisu aingie bungeni" JK
Mkuu kama ulifuatilia kesi kwa kusoma hiyo thread aliyoanzisha yericko, sishangai uki'coment hivyo.
Hebu jaribu kutafuta source zingine zilizoelezea mwenendo mzima wa ile kesi.
So far Zitto ameibuka kidedea, Lissu na timu yake wamebwagwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom