Maombi ya watu kwenye hiyo post yamefikia zaidi ya elf arobaini sasa mchakato utakua mrefu kidogo itabidi tuongeze vigezo ikiwa ni pamoja na physical fitness
Jaman ni kwl chumba kinaweza kuwa kilijaa maombi,lakn je ni graduate wa 2013 kwl? Na kama ndyo je kwl wote walikuwa na matokeo? Afu pia chet cha darasa la 7. ? Kwa mantiki hyo kuna watu weng waliomba na hawakuwa na vgezo. Kwn tangazo lilitaka fresh graduate from school. So thnk of it!!!
Nakubaliana na wewe mdau wanawake wanabidi wajitokeze wam sue huyu gay yyii Bozobozo, mi navojua mwanamke ni zaidi ya sisi vidume na tunawategemea sana...Na watu kama Bozobozo wapimwe akili, wanaohisi kumdhalilisha mwanaume ni kumuitwa mwanamke
Inawezekana hukuelewa walikuwa na maana gani waliposema freshers!
Nakubaliana na wewe mdau wanawake wanabidi wajitokeze wam sue huyu gay yyii Bozobozo, mi navojua mwanamke ni zaidi ya sisi vidume na tunawategemea sana...
Na watu kama Bozobozo wapimwe akili, wanaohisi kumdhalilisha mwanaume ni kumuitwa mwanamke
inawezekana. Ila nakumbuka walisema wanata freshers wenye degree/advance diploma. Na pia direct entrant from colleges. Sasa nahc direct entrant wa 2013 hawakuwa na transcrpt. Pia weng hawakwenda ku certfy vyet mahakaman. So hapo kuna mambo hayajakaa vzur. Cju we unaonaje hlo ndugu yngu.
huo mchakato bado ni mrefu sana, pia kama umesoma education wewe ondoa matumaini maana huwezi chukuliwa