BozoBozo
Member
- Nov 22, 2013
- 28
- 11
Babaako atakua mlinzi wa hicho chumba mkuu
Kama itakufanya uwe na furaha basi tufanye utakavyo, baba yangu awe mlinzi wa hicho chumba. Natumaini utakuwa na raha sasa.
Babaako atakua mlinzi wa hicho chumba mkuu
Siku nyingine unatakiwa uende na mada c o unashangaashangaa na kuuliza maswali ya kitoto..unakuwa kama sio Ga yyy wakati ndo kazi yako..j2 njemaSawa mama yangu.
Bab ako atakuwa anafanya PCCB...Umejuaje:bored:
Siku nyingine unatakiwa uende na mada c o unashangaashangaa na kuuliza maswali ya kitoto..unakuwa kama sio Ga yyy wakati ndo kazi yako..j2 njema
Uwe unaenda na move za mada zinavyoenda c o unalialia tu baba angu kaingiaje humu..unakuwa kama c o Gaa yyyii wakati ndo kazi yako..Sawa mama yangu.
Uwe unaenda na move za mada zinavyoenda c o unalialia tu baba angu kaingiaje humu..unakuwa kama c o Gaa yyyii wakati ndo kazi yako..
Sioni hata jinsi baba yangu alivyoingia kwenye hii mada.
Kama huoni washa taa,
au tafuta miwani! !
Nitafata ushauri wako shangazi.
Umejuaje kama chumba kizima kimejaa? au unaturusha tu.
I am gentleman my young kid and i wonder u don't know even to construct a single sentence in swahili, i wish i could be close to u n'kick u a small a ss hole......teaching u what's all about and make u to behave next tym..poor kidNitajitahidi kukuiga wewe demu wake baba yangu ambaye ni mfanyakazi wa Pccb. Jpili lazima iwe njema kwakuwa umeishaniombea demu wake baba mfanyakazi wa pccb.
I am gentleman my young kid and i wonder u don't know even to construct a single sentence in swahili, i wish i could be close to u n'kick u a small a ss hole......teaching u what's all about and make u to behave next tym..poor kid
Haya bibie!!
wadau nauliza kama kuna aliyeitwa kwenye hiyo nafasi hapo juu au bado hawajaita
masters kibao, first class kibao, upper second kibao, utaweza hiyo competition?
Kijan hii ni forum kubwa tu na inaheshimika hata kama baba ako katajwa kuwa mpole tu..huo mtindo wa kuita watu Mama, shangazi warembo hautakufikisha mbali ....u have to grow.....I understand step mum, the problem is you confuse me sometimes. You say U wonder I don't know even to construct a single sentence in swahili and yet you understood and replied to my every conversation and now you have swirched to english, luck enough you sugar daddy (my father) took me to a good english medium school so I understand a little english. Still we can continue with our business STEP MUM.
Kijan hii ni forum kubwa tu na inaheshimika hata kama baba ako katajwa kuwa mpole tu..huo mtindo wa kuita watu Mama, shangazi warembo hautakufikisha mbali ....u have to grow.....