Recent content by boy 1

  1. boy 1

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya kununua kiwanja ili kupunguza utapeli

    Nimekuelewa sana
  2. boy 1

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia wezi wa Tv majumbani

    Ni jambo zur
  3. boy 1

    JamiiForums Tanzania Waliowahi ku-order bidhaa online kupitia mtandao wa alibaba naombeni uzoefu wenu

    Shukrani sana[emoji120][emoji120]
  4. boy 1

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120]wewe ndio nimekuelewa kirahisi japo lugha yako Sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. boy 1

    JamiiForums Tanzania Waliowahi ku-order bidhaa online kupitia mtandao wa alibaba naombeni uzoefu wenu

    Msaada kwenye tuta Kwa anayefahamu jinsi ya kuagiza bidhaa Kwa hao jamaa mpaka inakufikia bongo unafuata taratibu zipi na je sio wababaishaji au wapigaji.
  6. boy 1

    JamiiForums Tanzania Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    (b)inakataa
  7. boy 1

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Majambazi ni moto tu

    Watu kama nyinyi ndio mnakubaligi kupigwa miti kuingiziwa ukuni matakoni Kwa kisingizio Cha haki za binaadamu
  8. boy 1

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Utapeli kuunganishiwa umeme kwenye nyumba mpya

    Sio waya wanakwambia mita yako imefika wanayo wanakuja kukufungia Kisha wanaanza story kibaaoo ili uwatumie Hela waje haraka ukijichanganya hawapatikani na wanamaneno hatari hawana tofauti na tanesco wenyewe [emoji1787]
  9. boy 1

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Utapeli kuunganishiwa umeme kwenye nyumba mpya

    Iliniuma sana wale jamaa ningewakamata aisee
  10. boy 1

    JamiiForums Tanzania Nissan na Mazda

    Niliiweka humu jf miezi kadhaa iliyopita wapo waliosema hiyo gari huuzi nikawa nawachora tu [emoji1787][emoji1787]
  11. boy 1

    JamiiForums Tanzania Nissan na Mazda

    Kweli kabisa
  12. boy 1

    JamiiForums Tanzania Nissan na Mazda

    Nissan Tiida na mazda verissa hizi gari zote nimezimiliki na nimefanikiwa kuziuza japo kukatishwa tamaa na wadau kulikuwa kwingi sana Sasa nataka niagize Nissan note aliyewahi imiliki vipi sifa zake ni gari nzur au?
  13. boy 1

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimehamia kwangu

    Japo haikuwa rahisi kivile nashukuru mungu nimefanikiwa kuhamia kwangu Kweli nimeamini ukiwafatilia sana walimwengu haujengi vitisho vingiiii hasa hawa mafundi wa mitandaoni kitu Cha laki atakwambia laki Saba[emoji2957][emoji2957]
  14. boy 1

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Utapeli kuunganishiwa umeme kwenye nyumba mpya

    Kuna mtindo vibaka wanapita kutafuta nyumba ambazo hazijawekwa umeme Bado zikiwa na chuma la kupokelea umeme wakikuta nyumba ya hivyo na hakuna mtu wanaweka namba zao wanaandika TANESCO ukija kujichanganya kuwapigia wanamaneno hatari utafikiri ni tanesco wenyewe ukizubaa utajikuta umepigwa Hela...
  15. boy 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Umri 34 Kazi mtumishi wa uma Makazi dar Sifa za mke Muislam Awe mwembamba
Back
Top Bottom