Nissan na Mazda

boy 1

JF-Expert Member
Jul 29, 2016
414
393
Nissan Tiida na mazda verissa hizi gari zote nimezimiliki na nimefanikiwa kuziuza japo kukatishwa tamaa na wadau kulikuwa kwingi sana Sasa nataka niagize Nissan note aliyewahi imiliki vipi sifa zake ni gari nzur au?
 
Wabongo sisi kazi yetu ni kutishana tu
RR

255jerry_1635616357945.jpg
 
Nissan Tiida na mazda verissa hizi gari zote nimezimiliki na nimefanikiwa kuziuza japo kukatishwa tamaa na wadau kulikuwa kwingi sana Sasa nataka niagize Nissan note aliyewahi imiliki vipi sifa zake ni gari nzur au?
Haina shida ukipata ya 2015 mambo safi ww na service tu

Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
 
Nissan Tiida na mazda verissa hizi gari zote nimezimiliki na nimefanikiwa kuziuza japo kukatishwa tamaa na wadau kulikuwa kwingi sana Sasa nataka niagize Nissan note aliyewahi imiliki vipi sifa zake ni gari nzur au?
Nissan Tiida kuanzia 2004 mpaka 2009 na Nissan Note kuanzia 2005 mpaka 2009...ni gari moja tofauti muonekano wa body na dashboard..
Kwa sababu zote zinatumia wngine moja ya HR 15 cc 1500 na gearbox ni CVT..

Kuna tiida chache zenye engine ya cc 1800 ..
 
Back
Top Bottom