Kaka una umri gani?
Mbona kama hizi habari ndo unazijua leo?
Haya mambo yasha trend sana huko nyuma na watu washasahau....wewe ulikuwa wapi kwani au ndo unakua?
Acheni kukata kata maneno mtu anapoongea jambo...hizo chuki zenu dhidi ya uislam hazitawafikisha popote.
Katika video hii sheikh alikuwa akiwasema wale watu waliokuwa wanawatukana maswahaba watukufu pamoja na mke wa Mtume s.a.w Bi Aisha R.a.
Hapo sheikh alikuwa akiwalaani hao watu na kutoa...
Nilichogundua wengi wa watu design hiyo wana stress na maisha magumu sana so huwa wanapambana kuitafuta furaha kilazima kupitia mziki wa sauti kubwa....chunguza hii utagundua
Cha pili mtoa mada epuka sana kuishi nyumba za bei rahisi,nyumba nyingi za kupanga za bei chee huwa zinakusanya watu...
Jipe muda pia kuusoma uislam,ndiyo dini pekee iliyonyooka na ndiyo kimbilio pekee la watu wengi Duniani.
Soma mafundisho halisi ya uislam usiwasome waislam.
Upo sahihi sana,wenye imani hii nina uhakika hata wao wenyew inawachanganya sana....lakini pia kwa ukitaka ujue jambo hilo haliingii akilini mchukue mtoto wa miaka 8 au 10 kisha mwambia MUNGU,NI BABA,MWANA NA ROHO MTAKATIFU,afu msikilize huyo mtoto maswali atakayokupiga.
Ndugu zangu Mungu ni...
Aliyetuumba siyo mjinga kuwakataza watu wake kula nguruwe...Mungu ana upendo mkubwa sana na sisi ni vile hatujielewi tu,endeleeni kujitia upofu na kujiliwaza...
Hebu msikilize huyu msomi wa kiislam akielezea kwa kina na kisayansi ni kwanini haifai na ni hatari kubwa kula huyu mnyama...
Aisee hiki kizazi cha sasa kweli shida,hivi wewe umeshindwa hata kujiongeza...interview inabeba mambo mengi ikiwemo muonekano wako.
Unapokaa kwenye kiti/meza ya interview kuna mikao yake siyo unajikalia tu kama upo kibanda umiza.
Pale huwa unaangaliwa macho...
Tatizo lingine sugu tulilonalo wabongo ni kusifia mambo ya kijinga na kuyaita "ubunifu"....sasa hiyo hela, hayo maumivu na janga analojitengenezea unaona vipo sawa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.