Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 1,285
- 2,817
Ligi ya uingereza siyo mihogo ile kwamba ukijiskia tu unanunua,Epl,laliga,Sere A na Uefa hizi ligi huwezi kuzipata kirahisi kama vitasa...mfano Epl ili mtoa maudhui uipate ni lazima kwanza uwe na kitita cha maana,lakini pia kisumbusi chako lazima kiwe kimeenea/kusambaa katika nchi kadhaa siyo vinchi vitatu unataka Epl,pia lazima uwe na misuli ya kutikisana na mapapa kama Dstv,canal sports,bein nk,lakini cha mwisho pia uwe na miundombinu isiyoruhusu picha kukatika katika hali yoyote.
Epl ni ya manguli,hawa Azam,Startimes hii wataendelea kuiskia tu japo Azam kiukweli anaelekea huko kwenye unguli japo muda bado kidogo
Epl ni ya manguli,hawa Azam,Startimes hii wataendelea kuiskia tu japo Azam kiukweli anaelekea huko kwenye unguli japo muda bado kidogo