Shilole mama wa watoto wawili bado anakua? Acha uwehu. Kucheza jukwaani matiti yakiwa yameninginia nje ya sidiria ndio show au ukahaba? mwenye uchungu kwa yeye kufungiwa aende mahakamani. Pia mshaurini aache viroba.
Jibu ni kuwa katika mapenzi epuka sana mazoea. Kila siku muone mpenzi wako ni mpya na kila siku buni mambo mapya yatakayoimarisha mapenzi yenu. Ukiona mpenzi wa mwenzio kapendeza mpaka unamtamani na wewe mpendezeshe mpenzio na utamuona ni mzuri kuliko wote. Ubunifu ni muhimu sana. Epuka ugomvi...
Eti Lowassa katumia bilioni 50 katika harakati za kutangaza nia. Ulikuwepo kwenye kamati ya matumizi ya bilioni 50? Mbona mnaropoka hivyo? Hivi wewe umeingizwa jando kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.