Dah hizi ni habari za kushtusha kwa kweli ila kwa kifupi wanamuongezea jamaa popularity na pity kwa wananchi. Huyu jamaa alieanzisha huu uzi hapo chini aliona mbali kwa namna flani...
Eduin
0713 123 ... na kuendelea ni code number za full time employees wa tigo. Na ni mali ya tigo ukiacha kazi lazima uirudishe. We ni mfanyakazi wa tigo au unamuuzia mtu msala hapa??
Hujamkwaza mtu ila kumbuka kwenye dunia hii sio wote waumini na wanaamini unachokiamini. Jamaa ana kipaji anastahili kufaidi matunda ya kipaji chake kwa wenzetu wanaothamini sanaa huyu jamaa sio mwenzetu kabisa wa kuja kuomba dili hapa. Akiendelea kupokea 20k na kusubiri hiyo miujiza ya mungu...
Tembelea kijiji au centre ya wasanii nafasi art space iko mikocheni nyuma ya itv baada ya yard ya kilimanjaro express ufungue macho kidogo kutoka kwa wenzako. kufanya kazi moja kwa 20k maisha haya kutoboa kimaisha itakuwa ngumu nenda ukawe inspired kwa wasanii wenzako maana sikuona kazi chini ya...
Chanzo changu makini ndani ya BBC kimeniambia BBC makao makuu wamebadilisha strategy na idhaa za lugha ngeni hasa kiswahili zitaanza kurushwa kutoka nchi husika mnamo mwezi wa nane mambo yakienda vizuri. Hii ina maanisha nini??? Ni kwamba watangazaji wote wa idhaa ya kiswahili (kikeke and the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.