Kwa mahitaji ya picha nzuri nitafute

Kwa mahitaji ya picha nzuri nitafute

Sawa bosi ila ungetaja hata price range

Mkuu kuna 20k hadi 50k pesa halali za kitanzania, bei inategemea sana sana na mazingira(ugumu wa picha) nikiwa namaanisha mandhar yake, mahala ambapo muhusika anahtaj picha ichorwe na size ya picha inayohtajika.
 
Nadhani ungekadilia bei ya kuanzia ili watu wajue. Kuna watu hawaamini kwamba mtu hawezi kuchora kitu kiatokea kama kilivyo, sasa wewe ungeweka picha za watu wanaojulikana sana kama Obama, kikwete, mtu mwingine yeyote maarufu watu waone kipaji chako.

Usijal mkuu tupo ktk mchakato huo... Ntaanda bei, japo kazi hizi kupanga bei bila kujua kazi ni shida kama vile unapokutana na fund yoyote bei ni hdi aione kazi. Ila ntajitahd
 
Nadhani ungekadilia bei ya kuanzia ili watu wajue. Kuna watu hawaamini kwamba mtu hawezi kuchora kitu kiatokea kama kilivyo, sasa wewe ungeweka picha za watu wanaojulikana sana kama Obama, kikwete, mtu mwingine yeyote maarufu watu waone kipaji chako.

Ahsante kwa mawazo yako mazur hilo ndio tunalolifanyia kazi sasa... Tupo ktk harakat za kumchora diamond, ali kiba, jide kwa wanaoweza kutusaidia kupata kuzifikisha kwa watu kama hao itakuwa safi hizo tutazichora bure natumai wakikubali kazi itakuwa tumemwagia oil ktk bolt yenye kutu.. Halaf kazi zitakazofata kunabya cr7, donnie yen, 2pac, tony ja n.k
 
Nadhani ungekadilia bei ya kuanzia ili watu wajue. Kuna watu hawaamini kwamba mtu hawezi kuchora kitu kiatokea kama kilivyo, sasa wewe ungeweka picha za watu wanaojulikana sana kama Obama, kikwete, mtu mwingine yeyote maarufu watu waone kipaji chako.

Sawa bosi ila ungetaja hata price range

Kwa picha kama hii ikifika hadi mwisho mwenyewe karidhia kutoa 40 elfi
 
Attachments

  • 1430122215780.jpg
    1430122215780.jpg
    7.2 KB · Views: 121
  • 1430122236330.jpg
    1430122236330.jpg
    7.8 KB · Views: 109
Mkuu kuna 20k hadi 50k pesa halali za kitanzania, bei inategemea sana sana na mazingira(ugumu wa picha) nikiwa namaanisha mandhar yake, mahala ambapo muhusika anahtaj picha ichorwe na size ya picha inayohtajika.

mmmh 20k hadi 50k ndo shilingi ngapi...fanya kuwa wateja wako si vijana wa umri wako mnaoelewana lugha...kuna watu wa mwaka 47!
 
mmmh 20k hadi 50k ndo shilingi ngapi...fanya kuwa wateja wako si vijana wa umri wako mnaoelewana lugha...kuna watu wa mwaka 47!

Hahaa... Samahani mkuu, haya ni hvi 20k ni tsh 20 elfu na 50k ikimaanisha 50 elfu "fedha halali kwa malipo ya kitanzania"
 
Usijali mkuu nadhan niliyaweka mwanzoni wakat naandika uzi ila naweza rudia hata maraa kadha ukijitaj

Email:mirajimgumia@gmail.com

Simu: 0659445718

Nitakuletea kazi moja nataka ichorwe kwenye ubao....nishachukua mawasiliano!
 
Jamani inasikitisha!!!!!!!!!

Je ni kweli kuwa serikali inalipwa UDS1000 kwa mwaka huku hiyo Kampuni ikilipwa Dola 5000 kwa kila siku toka KLM tu??

Kumbe ndiyo maana nchi nyingine watu huamua kuingia msituni kupambana na maadui wa maendelo kama hao waliosaoni huo mkataba!!

Poa kaka, unakaribishwa mkuu
 
mkuu unajua na unastahili pongezi
nshachukua namba yako ntakutafuta tufanye kazi
 
Kwa mahitaji ya picha nzuri,kali,murua na maridadi kama hii tuwasiliane kwa 0659445718 au ni pm.. Mwenye dili za kuchora, ofisi inayohitaj mchoraj au mahali pakuanzia msaada please.

Tembelea kijiji au centre ya wasanii nafasi art space iko mikocheni nyuma ya itv baada ya yard ya kilimanjaro express ufungue macho kidogo kutoka kwa wenzako. kufanya kazi moja kwa 20k maisha haya kutoboa kimaisha itakuwa ngumu nenda ukawe inspired kwa wasanii wenzako maana sikuona kazi chini ya 200k pale
 
Pesa na Dhahabu ni mali ya BW ( Mungu )
Unaweza kufanya kazi ya mamilioni bado usifanikiwe na ukafanya kazi ya mamia na Mungu akakubariki. Kipaji alichonacho huyu jamii ni Mungu kampa ili akitumie kwa sifa na utukufu wake. Afanye kazi kwa bei atakayoona inambariki na isiwe kwa tamaa. Samahani km nitamkwaza mtu bali ni mawazo yangu
 
Kwa mahitaji ya picha nzuri,kali,murua na maridadi kama hii tuwasiliane kwa 0659445718 au ni pm.. Mwenye dili za kuchora, ofisi inayohitaj mchoraj au mahali pakuanzia msaada please.
Upatapo kazi za kufanya usisahau kutoa mzaliwa wa kwanza ktk kazi yako pia fungu la kumi ( ZAKA )
 
Back
Top Bottom