Bosi Michembe
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 271
- 87
Pesa na Dhahabu ni mali ya BW ( Mungu )
Unaweza kufanya kazi ya mamilioni bado usifanikiwe na ukafanya kazi ya mamia na Mungu akakubariki. Kipaji alichonacho huyu jamii ni Mungu kampa ili akitumie kwa sifa na utukufu wake. Afanye kazi kwa bei atakayoona inambariki na isiwe kwa tamaa. Samahani km nitamkwaza mtu bali ni mawazo yangu
Hujamkwaza mtu ila kumbuka kwenye dunia hii sio wote waumini na wanaamini unachokiamini. Jamaa ana kipaji anastahili kufaidi matunda ya kipaji chake kwa wenzetu wanaothamini sanaa huyu jamaa sio mwenzetu kabisa wa kuja kuomba dili hapa. Akiendelea kupokea 20k na kusubiri hiyo miujiza ya mungu atakufa njaa.