Siku hz ni fashion, ujanja/udenti ukamilike lazima begi mgongoni. Sasa umkute alibeba hilo chini kavaa suali ya jinsi kalegeza matakoni, utachoka!! Mkikutana ghafla kabla ya salamu anapandisha kwanza suluari usione sijui ni chupi/boxer/jezi/kaptura. Yaani SHIDA.
Mnenikumbusha jamaa yangu alienda soma Alevel Ilboru 1996, nami nilienda Songea boys, aliporejea likizo alikuwa akivaa tshirt yake ya Ilboru SEC Daily Ili apate ujiko, dah alisumbua sana. Lkn sasa kila mmoja anapambana na hali yake.
Ufhaifu huo!! Huyo mkeo angekuwa wangu siku moja tu kwa maneno hayo, pale anasema angekutana na KERUBU moja ya kweli sana, Hatimaye angealika na nduguze Kuja kuomba msamaha. Maisha angekuwa sana mbeleni. Jeans tena!!!
Wakati nasubiri wachangiaji, Gama ni Mbunge wangu, so nilichangia mapema asubuhi. Nafikiri pia Gama amefariki akiwa madarakani na mwenzake akiwa mtaani, so Gama madaraka yamemfanya A sound zaidi.
Kwa uzoefu wangu wa kingumbaro najua msaada ukishaandikwa una Nia na malengo yake, wah Wabunge watapewa Semina nyingi kuhusu hili na kama kawaida watapitisha. Watumishi Wataumia. Ningeshauri suala hili Kuachwa tu km ilivyo sasa.
Walemavu wametajwa sijaelewa why, kwa vile Ni wachache??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.