Recent content by Borosilicate

  1. Borosilicate

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sawa mkuu asante kwa kunijuza
  2. Borosilicate

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wakuu nilipata placement udsm kwenye pdf ya tarehe 1 mwezi wa saba,kama kawaida huwa wanatoa siku 14 za kuripoti,hatimaye nikaenda kuripoti tarehe 8 ya mwezi wa saba,kisha baada ya hapo nikaambiwa nitapigiwa simu ndani ya wiki tatu lakini mpaka hivi leo naona kimya,je inakuwaje wakuu maana naona...
  3. Borosilicate

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wakuu nahitaji kujua location ya ofisi ya psrs dodoma Kwa ajili ya oral interview,maana kwenye Google map,naona ofisi zipo mbili moja ipo udom karibu na college ya cbsl na nyingine ipo karibu na mlimwa primary school
  4. Borosilicate

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Maabara general,iwe kwenye vyuo,taasisi za utafiti kama nimr,Taliri,Tawiri,Tari,Tvla,Gcla,Tmda,Tbs, na wizarani kama wizara ya mifugo
  5. Borosilicate

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wakuu naomba msaada wenu wa kuainisha maswali yanayotoka sana katika interview ya oral na written Kwa kada ya Maabara(exclude medical laboratory)level ya diploma.
  6. Borosilicate

    Umuhimu wa kufatilia na kurekebisha baadhi ya vifungu kuhusiana na sekta ya mifugo

    Kuhusu Kwa binadamu iko wazi kwamba Sheria ipo na utaratibu unafanya kazi, lakini Kwa mifugo utaratibu kuhusu swala la kitabibu haufatwi kabisa naongea hivi nikimaanisha Kwa mfano hivi ungejisikiaje ukiwa unaumwa ugonjwa serious mfano malaria halafu haupimwi wala nini halafu unapewa labda Dawa...
  7. Borosilicate

    Umuhimu wa kufatilia na kurekebisha baadhi ya vifungu kuhusiana na sekta ya mifugo

    Tanzania ni miongoni mwa nchi tano bora zinazoongoza kwa kuwa na mifugo mingi barani Afrika. Hivo kuchangia mojamoja katika ukuzaji wa uchumi kupitia mazao mbalimbali yatokanayo na mifugo kama vile: maziwa, nyama na ngozi. Hivo basi ili mradi uzalishaji upate kushamiri ni muhimu vitu vya...
  8. Borosilicate

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kikubwa ishu ambayo madogo walikuwa wanakuwa informed kwa kupigiwa simu ni ishu ya majina kutofauti katika baadhi ya vyeti,mfano unakuta majina ya cheti Cha kuzaliwa na form four hayafanani na kwenye nida,kwa hiyo wiki waliripoti kwenye vikosi vyao husika na kupewa utaratibu wa namna ya kufanya...
  9. Borosilicate

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Unashukuru nini Sasa,Kuna kipi hapo Cha ajabu Cha kukufanya ushukuru
  10. Borosilicate

    Haya matukio yamenifanya nijitafakari upya tabia zangu

    Wapo wa aina nyingi ,acha kugeneralised mkuu
  11. Borosilicate

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hizi taarifa zisiwape presha sana ambao mmefanya usaili ,mara ya Kwanza ,mnachotakiwa kujua ni kwamba majina yenu yashaenda makao makuu ila ni kwa watu waliokidhi vigezo peke ake Na kuhusu huu usaili wa mara ya pili wa kimya kimya ni kwamba sababu ambayo hataki kusema huyu dogo RmrNobody ni...
  12. Borosilicate

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa form four ndo inavoenekana hivo,maanake kama huna connection kishwa habari yako [emoji24][emoji24][emoji24]
  13. Borosilicate

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa hiyo Kama una hakika ulifanya usaili vizuri mara ya Kwanza ,basi punguza mteru,Kisha tafuta maziwa ya mtindi kunywa huku ukisubiria pdf
Back
Top Bottom