Website ya psrs mkuuPDF iko sehem gan
Website ya psrs mkuuPDF iko sehem gan
mwaka 2021 Tawa walitangaza ajira wanataka mtu 1 kitengo hicho...Dah kuna kada zina fursa mpaka natamani nakasome tena
Aisee wamekula shavu la maana watu 100 ni wengimwaka 2021 Tawa walitangaza ajira wanataka mtu 1 kitengo hicho...
leo wamepewa fursa yenyewe
Mzee wa not selected punguza makasirko
Hahahaha poa mkuuUsinichukie bure mkuu sisi wote hapa wasaka tonge tu...relax...kwnz mi sijawahi sema mwenye ako na not selected basi kashakandwa ww tu na wasi was wako
Amna mkuu sema tusiwe tunakatishana tamaa mtiti wa kufika oral psrs si mchezo afu mtu anaongea kiurahisi kitu ambacho hana uhakikaUkitaka mkosane na Sam Mirror mletee maada ya STATUS TU
mwaka 2021 Tawa walitangaza ajira wanataka mtu 1 kitengo hicho...
leo wamepewa fursa yenyewe
Ina maana hao wahifadhi wa TAWA 100 ni data base ya 2021?mwaka 2021 Tawa walitangaza ajira wanataka mtu 1 kitengo hicho...
leo wamepewa fursa yenyewe
Sure ,cha muhimu ni kuongeza kasi ya utendaji hapo psrs , mikeka itoke faster na baada ya Oral mtu ajue matokeo yake either kafaulu au la , wakifanya hivyo ,Vijana mshukuru sana Mungu na aliyetoa wazo la kuanzishwa PSRS. Kabla ya hapo hizi ajira za taasisi kama NCAA na nyinginezo ajira zake kwa masikini wasio na connection ilikuwa ni sawa na CHAUMA kuongoza nchi
Hizo taasisi ilikuwa mtoto akimaliza six anaambiwa kasome kozi fulani akimaliza tu moja kwa moja anakuja kuchukua nafasi yake bila interviewSure ,cha muhimu ni kuongeza kasi ya utendaji hapo psrs , mikeka itoke faster , wakifanya hivyo ,
PSRS itakuwa ni mfumo bora kabisa wa kuajili kwa sekta za umma
kweliSure ,cha muhimu ni kuongeza kasi ya utendaji hapo psrs , mikeka itoke faster na baada ya Oral mtu ajue matokeo yake either kafaulu au la , wakifanya hivyo ,
PSRS itakuwa ni mfumo bora kabisa wa kuajiri kwa sekta na taasisi za umma
Tunataka wafike elfu 10 kwenye huu mwakaMkeka wa leo unafanya idadi ya walamba asali kufikia
1,946
toka mwaka mpya wa fedha umeanza.
Hongereni sana, TUNA IMANI NA PSRS.