umesema vema ndugu THE BIG SHOW
1. Hayo matakwa yenu ni yapi wakati hata katiba ya sasa imesha mruhusu kila mtu kuabudu katika dini yeyote anayoitaka, ni matakea gani ambayo u(m)nayataka kama kuwasiliana na mungu wenu hamjazuiliwa vitabu vyenu ndio viwafunze waomini wenu naoma ya kutii inanii...
nikuuliZe swali ndugu 'BIG SHOW'
UNA(mna)TAKA MAHAKAMA YA KHADHI KWENYE KATIBA KWA AJILI YA NINI NA NANI?
ukijibu nitaendelea
asante sana na YESU KRISTO AKUBARIKI SANA
kwani hiyo RASIMU ya katiba wameandika watu wa ulaya au wananchi wa Tanzania? UKAWA wanatetea katiba ya wananchi kwa ajili ya wananchi, sioni sababu ya wao kusema mambo ya Ulaya ambayo hayana tija kwa maslahi yetu.
wewe ni muongo mkubwa!!!! shame be upon you!
Mh. Mnyika alisimama na kulalamikie uteuzi kabla ya Prof. Lipumba hajakataa uteuzi wa mwenyekiti.
sio wewe peke yako unaeangalia tv acha umbea ndugu yangu utakufa muda sio wako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.