Kwa kauli ya Mbowe, kesho rasmi narudisha kadi ya CHADEMA mtaa wa Ufipa

Status
Not open for further replies.
Sina cha kuzungumza zaidi nlichoandika hapa kwenye heading! Siasa ni ujinga, uchochezi na ulimbukeni, zaidi nimshukuru ndugu faiza foxy kwa kutuandaa kisikolojia kwa yote yaliyotokea!

nenda karudishe magamba ww
 
Last edited by a moderator:
Sina cha kuzungumza zaidi nlichoandika hapa kwenye heading! Siasa ni ujinga, uchochezi na ulimbukeni, zaidi nimshukuru ndugu faiza foxy kwa kutuandaa kisikolojia kwa yote yaliyotokea!

Kaa tulia acha papara si muda mrefu utajua ni kwa nini maadhimio kama yale yameridhiwa na UKAWA.
 
Kweli hatuna shida na utaqshi wako tunaukubali kama wengine kutoka vyama pinzanini wanavyokuja kwetu ubarikiwe huko uedako
 
Kiukweli imekatisha tamaa sana, pia nakuhakikishia kua kwa hali hi lazima ccm washinde kwa kishndo mwakani, hata wakimsimamsha Mh Endrew Chenge
Kaa tulia acha papara si muda mrefu utajua ni kwa nini maadhimio kama yale yameridhiwa na UKAWA.
 
safari njema tuache tuendelee kujenga chama chetu huna la maana kwetu wewe

Sina cha kuzungumza zaidi nlichoandika hapa kwenye heading! Siasa ni ujinga, uchochezi na ulimbukeni, zaidi nimshukuru ndugu faiza foxy kwa kutuandaa kisikolojia kwa yote yaliyotokea!
 
Last edited by a moderator:
Kaa tulia acha papara si muda mrefu utajua ni kwa nini maadhimio kama yale yameridhiwa na UKAWA.
Mkuu hao vijana wenye jazba huwa hawana akili sana, hata kilichotokea hawakielewi.
Wanashindwa kuelewa kuwa PAC imetoa maazimio ambayo Waziri Mkuu ameahidi kuyatekeleza kama mkuu wa shughuli za serikali bungeni.

Na hii ina maana suala la kina Maswi, Muhongo, Werema na wengine TAKUKURU itawashughulikia na kujiuzulu kuko pale pale kama si kufukuzwa kazi.
 
Kadi akupe nani wewe, kama yule mama Asumpta...hamna hoja. Hamna lolote.
 
Sina cha kuzungumza zaidi nlichoandika hapa kwenye heading! Siasa ni ujinga, uchochezi na ulimbukeni, zaidi nimshukuru ndugu faiza foxy kwa kutuandaa kisikolojia kwa yote yaliyotokea!

Watu kama nyie ndio mnafanya watanzania waambiwe wana uwezo wa mdogo wa kufikiri!

Unajua kazi ya bunge?
Unajua mipaka ya bunge?

Unajua kuwa bunge halina mamlaka ya kumfukuza mtu uwaziri na mwenye hayo mamlaka ni aliye teua ambaye ni Rais?

Kimsingi Wale wote wameshafukuzwa kilazima hata kama waligoma kujiuzulu maana CCM +UKAWA + Bunge na haya CCM lazima wayatekeleze sababu yanagusa maslai na uhai wa chama!

Hivyo kimsingi watavuliwa nyazifa zao kama lengo la upinzani!
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli imekatisha tamaa sana, pia nakuhakikishia kua kwa hali hi lazima ccm washinde kwa kishndo mwakani, hata wakimsimamsha Mh Endrew Chenge
Ile bungeni haikuwa kampeni ya kisiasa. Lilikuwa ni bunge lilikowa na shughuli mbali mbali ikiwemo ya PAC kuwasilisha report yao juu ya Tegeta escrow account. Upo hapo
 
Kiukweli imekatisha tamaa sana, pia nakuhakikishia kua kwa hali hi lazima ccm washinde kwa kishndo mwakani, hata wakimsimamsha Mh Endrew Chenge

Tatizo la wa tz wengi huwa ni wavivu kufikiria ya kasho, you should always try to think OUT OF THE BOX on sensitive issues like ESCROW saga lakini kumbukeni kuna suala la mchakato mzima wa Katiba mpya ya JMT.
Hivi wa TZ nani katuroga hadi kufikia watu na hata viongozi wetu kutetea wezi na mafisadi wa mali za umma?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom