Kwa mwendo huu, tutafia sana vifuani

Kwa mwendo huu, tutafia sana vifuani

Inasikitisha sana siku hizi wanaotumia Viagra ni vijana wadogo sana ,wengine hata ni wanafunzi wa vyuo. Na hii si Dar tu, mpaka hata mikoani..nilikua Dodoma nikawa na jamaa yangu mmoja pale anaduka la dawa...ananiambia Viagra ndio inamlipa kuliko dawa zote. Wateja ni wanafunzi wa vyuo na waheshimiwa. Sijui kwa kweli nini kinalikumba Taifa. Hivi kweli kwa mawazo yako unaweza ikomoa papuchi wewe. Acheni ujinga jamani.

viagra ndo nn mkuu?
 
tena hata hizo wanazo sema za kienyeji nazo ni hatari maana wanachukua miti nakuisaga, nakuchanganywa na viagra ilo sagwa.
we unadhani natumia kitu cha asili hakina madhara kumbe ndo unajiua.
hakuna dawa ya kienyeji yeyote duniani ambayo inaanza kutoa matokeo kwa muda mfupi.
et unaambiwa kabisa usiitumie mpaka uhakikishe mwanamke yupo!
 
Hamu ya mwanaume mpaka dushelele kusimama inaanzia kwenye ubongo. Hamu hii huwa ni kubwa mno pale inapotokea mwanaume kuwa mbali au kutoona maumbile nyeti ya mwanamke kwa muda mrefu (Mfano mtu anapokuwa kifungoni jela kw miaka kadhaa, au mwanafunzi wa bwenini hasa wale wa single sex)
Inapotokea mwanaume kila wakati anaona uchi wa mwanamke ile hali ya kuhamasisha tendo hilo mpaka Dushelele lisimame inakuwa kwa kiwango kidogo sana. Wanawake/wadada wasiku hizi hawawapi nafasi wanaume kushangaa au kuwa na hamu ya kuwa na mwanamke faragha maana kila wakati mwanamke amekuwa ni mtu wa kujiweka uchi hadharani, iwe ni kwenye Luninga, Mitandaoni, mitaani, sehemu za starehe, kwenye mabasi ya abiria nk...

Mkuu sina uhakika ila sidhani kama uko sahihi,hamu haiwi kubwa kwa kuwa hujafanya muda mrefu sababu kama hujafanya mwili una mechanism yake ya kutoa hamu kama uchafu......na kisha huko mashuleni/jela lifestyle iko busy mawazo ya ngono hayapo ingawa hii ina exception.....

Nakubali wanaume hukinai haraka ila si kweli kuwa hawawezi kusimamisha madushe eti tu wameona vitovu huko nje,mwanaume anakuwa aroused kwa ushirikiano kutoka kwa partner wake regardless ameona nini huko nje.

Mwisho ni kutokujua na kujiamini kwa watu ndiko kunawafanya watumie viagra,ila kwa watu wazima magonjwa kama blood pressure na diabetes vinachangia dushe lisisimame
 
Mmmmh!!!! wanaume wa siku hizi wanasikitisha yaani hadi roho inauma utafikiri ni mimi
 
Sana..na hawajui wanajiaribu. Ni sawa sawa na kuvaa miwani ya macho wakati macho mazima...tena kina dada mkigundua wanaume zenu wanatumia hayo madawa achaneani nao. Sio wanaume hao, labda awe ameshauriwa na daktari.

Hapana Mkuu.. Kuna tatizo kubwa sasa hivi.. Vijana wanapoteza uwezo kwa kasi ya ajabu.. Haijakuwa rasmi lakini ukweli ndo huo.. Jaribu kuongea na hawa mabinti ndo utajua matatizo la vijana kuanza kuishiwa nguvu ujanani.. junk food & vileo vya kisasa vinawamaliza vijana wetu.. Nilitegemea wadau wa afya wangeanza kulisemea hili lakini nao wako kimya..
Supu ya pweza inagombewa na vijana kwa kuwa tu inaaminika ina uwezo wa kuongeza nguvu za kiume.. Wengine wanafurika kwa wamasai wakitafuta dawa za mitishamba kwa ajili hiyo..
 
Yes hiyo ndio point yangu..wengi wanakuja kuona matokeo baada ya kuoa. Wake zao watusumbua huku maofisini wana Genye. Msichana mdogo ndoa haina hata mwaka analalamika mme anamtesa kwa sababu hamgongi vizuri...ni balaa.

Mi nakutanaga sana na wadada dizaini hii. Ndoa changa, watoto hazai, mume kishaishiwa nguvu. Kwakweli huwa nawatindua tu, sinaga la zaidi. Nawatindua kwa kwenda mbele.
 
Waache watumie tu usiwashitue bwana maana wanaona kuiga kila kitu tu mwendo, sielew tatizo ni nini hasa wanawake wenyewe hawa simple sana kumridhisha wala haiitaj kumkomesha ili akukumbuke, ukimridhisha tu anakukumbuka mpaka analia mwenyewe kisa uko mbali tuacheni mambo ya kuiga nadhani hata hizi porn zinachangia tumesahau kuwa wale wenzetu wanafanya biashara
 
Watu wanaroho ngumu sana aisee .

yaani pamoja na idadi ya vifo vinavyoripotiwa kwenye vyombo mbali mbali vya habari kila siku lakini bado watu ndio kwaanza wanawaza nawenyewe wakazinunue zao wakaongeze heshima dadadeeek ....wakuu dawa yakuimaeisha dushe nimpangilio mzuri wa msosi na mazoezi kwisha.
 
Hapa walifaudu babu zetu, na baba zetu wakamalizia. Siku hizi mapaja,viuno,vitovu na sehemu kubwa ya matiti kuviona sio kitu cha ajabu.

Usiropoke mjomba babu zako gani na baba zako gani waliofaudu..au wao goli lilikuwa linatoka nusu saa nzima.
Halafu nguo mmeanza kuvaa lini...tafakari chukua hatua acha unafiki.
 
Kupakomoa sehemu tulipopitia! hatuna ujanja, kifupi wazee wetu walitumia vyakula halisi na sio artificial foods tunazohangaika nazo zamani unakuta mzee ana watoto 30zote original copy siku hizi ukipiga copy mbili nyingine mbili wife kazi burn ,na maisha yenyewe yamekuwa so hectic unarudi home hoi unaishia kuweka mkono juu ya mbunye sijui unaibariki au unailinda.
 
Madushe yashakuwa butu hayana makali, kasimama dede haipo tena yanasimama kwa hisani ya viagra!!!

kwa mie nikiwa sijala chakula unaweza kunitesa mwanamke wewe ila nikishiba ni zaidi ya hayo madawa wanayotumia wapumbavu
 
za siku nyingi kaka angu

Ni njema sana.... Real its long time nimekumiss sana. I'm happy upo bado na misimamo yako.... Nakupendea hapo kwani always unakua the same na hutarajiwi kuwa tofauti. Hope utanijibu kama kuna ukweli kwenu wanawake.
 
Papuchi zinalegezwa na nini wakati dushe zenyewe za manati, tafuteni solution acheni ubishi

hahahha..yaani wewe.! kwi.kwi.kwi.... eti dushe za manati. Dah umenichekesha sana. Unapiga za uso.
 
Inasikitisha sana siku hizi wanaotumia Viagra ni vijana wadogo sana ,wengine hata ni wanafunzi wa vyuo. Na hii si Dar tu, mpaka hata mikoani..nilikua Dodoma nikawa na jamaa yangu mmoja pale anaduka la dawa ananiambia Viagra ndio inamlipa kuliko dawa zote.

Wateja ni wanafunzi wa vyuo na waheshimiwa. Sijui kwa kweli nini kinalikumba Taifa.

Hivi kweli kwa mawazo yako unaweza ikomoa papuchi wewe.

Acheni ujinga jamani.

mkuu kuna vumbi la kongoo ni nomaaa hiyo...afu kuna mwalimu hamis hii sio mchezo ka mafuta,achia mbali kiboko ya mwajumaa.hahahah.ila as long as una mri 40 kushuka unatumia hii mavitu we huna jipya
 
Kama watumiaji ni wengi ina maana wagonjwa ni wengi pia,ni vizur tuangalie life style yetu turejee kula vyakula vya asili na mazoezi.

Ni tatizo ambalo nafikiri hata wizara ya Afya inaitaji kuingilia kati.....lazima watakua wanajua utokaji wa haya madawa ulivyo mkubwa maana wao ndio wanamonitor.... ishu inakuja kuwa hata hao viongozi wenyewe ni watumiaji wazuri tu..hivyo hamna wakupigia hili swala kelele. Yaani maisha yetu sisi vijana siku izi ni ya ajabu sana...inasikitisha kwa kweli
 
Back
Top Bottom