bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Nov 12, 2014 #41 mshana huja sema kama mass imefungwa au laaaa.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,452 Reaction score 857,737 Nov 12, 2014 Thread starter #42 bysange said: mshana huja sema kama mass imefungwa au laaaa.... Click to expand... Bado kabisa bysange kamati haijakubaliana mambo kadha Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
bysange said: mshana huja sema kama mass imefungwa au laaaa.... Click to expand... Bado kabisa bysange kamati haijakubaliana mambo kadha
BORNCV JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 242 Reaction score 46 Nov 12, 2014 #43 sio ndege kiumbe bali ni ndege ya kubeba abiria
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,107 Nov 12, 2014 #44 si ndege hai ni ndege ulaya. zamani tulikua tunaita ndege ulaya !
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,452 Reaction score 857,737 Nov 13, 2014 Thread starter #45 Mpita Njia said: Sio nyuni, ni ndege Click to expand... MpitaNjia nimepita hukohuko naona jibu lako ndio sahihi zaidi ila wadhamini bado hawajaleta zawadi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mpita Njia said: Sio nyuni, ni ndege Click to expand... MpitaNjia nimepita hukohuko naona jibu lako ndio sahihi zaidi ila wadhamini bado hawajaleta zawadi
Mpita Njia Platinum Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,189 Nov 25, 2014 #46 mshana jr said: Mpita Njia nyuni ninini? Click to expand... Ni mnyama ambaye mwili wake umefunikwa na manyoya ambaye huendeleza kizazi chake kwa kutaga mayai. Aghalabu, myama huyu huwa na uwezo wa kuruka angani
mshana jr said: Mpita Njia nyuni ninini? Click to expand... Ni mnyama ambaye mwili wake umefunikwa na manyoya ambaye huendeleza kizazi chake kwa kutaga mayai. Aghalabu, myama huyu huwa na uwezo wa kuruka angani
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 370,452 Reaction score 857,737 Nov 25, 2014 Thread starter #47 Mpita Njia said: Ni mnyama ambaye mwili wake umefunikwa na manyoya ambaye huendeleza kizazi chake kwa kutaga mayai. Aghalabu, myama huyu huwa na uwezo wa kuruka angani Click to expand... Zawadi yako iko wazi
Mpita Njia said: Ni mnyama ambaye mwili wake umefunikwa na manyoya ambaye huendeleza kizazi chake kwa kutaga mayai. Aghalabu, myama huyu huwa na uwezo wa kuruka angani Click to expand... Zawadi yako iko wazi
Mpita Njia Platinum Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,189 Nov 25, 2014 #48 mshana jr said: Zawadi yako iko wazi Click to expand... naisubiri kwa hamu