Recent content by Borderlandz

  1. Borderlandz

    Nyumba,vyumba Dodoma

    cha biashara ntapata maeneo ya saba saba?
  2. Borderlandz

    Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

    ACACIA wanatupiga, mchanga una asilimia tano na tisini na tano inabaki migodini CCM walisign hii mikataba ACACIA wakaimiliki kwa mujibu wa sheria, sasa tundulisu mnamvua nguo kivipi au mnata kusema tundulissu alisignisha hii mikataba.
  3. Borderlandz

    Kuondolewa Motor Vehicle Licence janga kwa wananchi wa kawaida

    Na ndio maana CCM wanapoteza mvuto ni kwa sababu hiyo hiyo ya kwamba wananchi wanasikia na kupima mambo, nakupa mfano mdogo juzi tu lissu kaongelea issue ya mchanga kuanzia maana ya mikataba ya madini, na sheria zake, madhara ya alichokifanya mkuu, hasara tunayoipata na tufanye nini ili...
  4. Borderlandz

    Kuondolewa Motor Vehicle Licence janga kwa wananchi wa kawaida

    Kaka Msigwa hawezi kukosea? kwani ni lazima kila anachokiongea mpinzani kiwe sahihi, mbunge wa CCM anaweza kupinga hili kwa hoja na upinzan pia, kama atakosea CCM ata mpinzani anaweza kukosea issue ni kupima faida na hasara na kuleta ushauri mezani, point yangu ni wabunge wengi wa upinzani kupuuzwa.
  5. Borderlandz

    Kuondolewa Motor Vehicle Licence janga kwa wananchi wa kawaida

    Sijakuelewa atoe alternative kwa serikali ya CCM? Sijawahi kusikia jambo kutoka kwa wapinzani likifanyiwa kazi direct na serikali hii zaidi ya kubezwa
  6. Borderlandz

    Ronaldo atoa 'like' kwa picha inayomkejeli Messi mtandaoni

    Messi mwanaume TEAM PLAYER Ronaldo ni GOAL SCORE kuna utofauti mkubwa saana, Ronaldo is just like other players ila Messi ana uchawi flan adim
  7. Borderlandz

    Maajabu ya Wabunge wetu: "Double Taxation" katika Road License, na Wabunge wanashangilia?

    Kodi zenye tija na rafiki kwa wananchi wake mzambia ananunua gari let say 10 million kutoka japan mpaka inafika mtanzania ile ile gari inakuja kwa 15M
  8. Borderlandz

    Maajabu ya Wabunge wetu: "Double Taxation" katika Road License, na Wabunge wanashangilia?

    Kodi kubwa na ndogo, inayouma na isiyouma zote ni kodi tuache Utanzania
  9. Borderlandz

    Biashara ya salon za kiume na kike

    Mi nataka kujua kuanzisha salon yenye standard ya kawaida niwe na mtaji kuanzia kiasi gani?
  10. Borderlandz

    Ofisini hakukaliki: Secretary ameliamsha Dude

    mkuu wangu upo right 100% wanasema aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea
  11. Borderlandz

    Nakosa imani na mbunge wangu, Halima Mdee. Tufanyeje kumuondoa kikatiba?

    Ili uwe ccm lazima kiakili uwe zero brain kama si hivyo basi uwe na maslahi, nje ya hapo huwez kuwa CCM
  12. Borderlandz

    H. Polepole: Anna Mghwira amekubali sharti la kuwa RC na kusimamia ilani ya CCM

    CHADEMA muwe makini na dalili zozote za usaliti akizingua mtu mna dokta slaa au kumzitto kabwe alafu safari inaendelea.
  13. Borderlandz

    Wenye dini za wakoloni, hawa ndio slave master wenu

    "Ninapo wapa wasiojiweza na kuwasaidia wahitaji moyo wangu unajisikia vizuri lakini ninapotenda jambo baya au kumfanyia mtu baya nafsi yangu hunisuta na kuomba msamaha ikibidi, hiyo ndiyo Dini Yangu" Abraham Lincoln
  14. Borderlandz

    Ajira mpya serikalini

    Toa kitu kinaitwa "ajira" kichwani kwako
Back
Top Bottom