H. Polepole: Anna Mghwira amekubali sharti la kuwa RC na kusimamia ilani ya CCM

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Hamphrey Polepole, amesema Anna Mghwira amekubaliana na sharti moja la kuwa RC na kusimamia ilani ya CCM na kufanya kazi bila kujali itikadi.


index.jpeg


Mghwira Ilani.jpeg
 
Hapa sasa Magu inabidi acheze kama Pele, Aidha Mbowe au Tundu Lisu apewe wizara... Angalau kuanza kuweka ufa CHADEMA.
 
Kusimamia ilani ya KIJANI ilihali yy anapeperusha rangi ya Zambarau yenye ramani ya taifa na kufanya kazi bila kujali ITIKADI wakati yuko mkoa ngome ya upinzani.... hapo sasa tuone kama unayosema kweli, vinginevyo kuna anayeviziwa polepole...... taratibu vile.. niache ninywe mbege yangu.
 
CHADEMA muwe makini na dalili zozote za usaliti akizingua mtu mna dokta slaa au kumzitto kabwe alafu safari inaendelea.
 
Kwa mbali sana naiona safari ya Mama Anna Mghwira kujiunga rasmi na CCM ikiwadia na ni suala la muda tu ili litimie.
Mkuu nimekuona hapa ndiyo nimekumbuka bora niulize kabisa ....hivi ile barua toka FIFa uliyosema imetua tff wanasita kuisoma vipi imefikia wapi au wameichana tff???
 
Back
Top Bottom