Mashabk Wa Barca Bna! Ronaldo Yuko Vzr. Messi Amemtangulia Ronaldo Kucheza Hispania, Lkn Anamharibia Messi Rekodi Zake. Ronaldo Katika Mechi Karibu Za Miaka Yote Anakua Na Magoli Zaid Au Karibia Sawa Na Mech Alizocheza. Angalieni Mafanikio Ya Timu Alizotoka Akiwepo Yeye, Ona Real Chini Yake, Angalieni Akiwa Na Timu Yake Ya Taifa. Messi Bacelona Wamemfanya Msukule, Kila Mara Agentina Wamekua Vibonde Wa Brazil. Mnaishia Kusema Burudani, Mnamkumbuka Otega? Au Okocha? Hadi Kanzu Watu Walivaa Miaka Ile Lkn Walifka Wap? Ronaldo Atazfutilia Mbali Rekodi Za Messi, Tuwape Muda.