Kuondolewa Motor Vehicle Licence janga kwa wananchi wa kawaida

Kuna mtaa nilikuwa naishi tukiitana tuchonge barabara wanasema ninjukumu la wenye magari...mtu akiugua usiku wanakuja kutugongea na tunatumia barabara hio hio na magari yetu kuwapeleka hao hao wasio na magari hospitali tena kwa mafuta yetu....mwenyekiti wangu Mbowe serekali iko sahihi kwa hili..kila mtu awe na gari asiwe nalo atalipia barabara kwa kadiri anavyoitumia na si vinginevyo....kubebana imetosha...
 
Ushuru wa mazao hakuna....bei ya mafuta ikienda kiuaminifu kulingana na bei ya dunia hakuna madhara. Wengi ni mashahidi wakt wa awamu ya 4 tumewahi nunua mafuta kwa gharama zaidi ya hata ukiweka hio shs 40 kwa lita.kila mtu achangie barabara sio watu wachache
 
Kuna mtaa nilikuwa naishi tukiitana tuchonge barabara wanasema ninjukumu la wenye magari...mtu akiugua usiku wanakuja kutugongea na tunatumia barabara hio hio na magari yetu kuwapeleka hao hao wasio na magari hospitali tena kwa mafuta yetu....mwenyekiti wangu Mbowe serekali iko sahihi kwa hili..kila mtu awe na gari asiwe nalo atalipia barabara kwa kadiri anavyoitumia na si vinginevyo....kubebana imetosha...
Akili zako ni za kibashite sana
 
nonsense
 
Moja ya Kitu Serikali ilichofanya cha ajabu ni Kuondoa Motor Vehicle Licence kwa Magari na kuipeleka kwenye Mafuta.

Hili Jambo litaenda kuathiri Uchumi wa Mtanzania kuwa Mbaya zaidi. Kumbuka Nishati ya Mafuta ndiyo kila kitu. Hii itaenda kufanya bidhaa kupanda gharama ya kununua, nauli kupanda na mwishoe kuathiri maisha Mazima ya Mwananchi wa Kawaida.

Pia itaathiri mfumko wa bei na maisha yatazidi kuwa Magumu. Kipengele hiki Sikubaliani nacho kabisaa.

Ni maoni yangu tu haya .

Ndiyo ni maoni yako tu haya siyo maoni ya taifa..
 
Vp naomba Elimu kidogo ,kuhusu hii kitu bima na road license ,kipi kimefutwa ?,je bima huwa nayo inajilimbikiza?
Hakuna kilichofutwa, vvijana wa dot com, nani kasema kati ya unavyouliza kimefutwa? Mbona siku hizi magazeti yapo bureeeee kwenye simu hata kusoma huwezi mbona limejadiliwa kila mahala, jifunze kuwa msomaji wa vitu na sio mtazamaji tu,

Hapo ni mfumo umebadilika road license itakuwa inatozwa pitia lita za mafuta petroli, diesel kwa tozo ya 40 shilingi tu....
 
Huu ni upuuzi ambao watanzania tumeuchoka!!!! Mtu anaongelea bajeti kuwa mbaya katika historia, lakini ukimwambia aje na alternative anabaki kukukodolea macho... upinzani bado sana aisee
Mkuu kumbuka wao wanachotakiwa ni kupinga tu, haijalishi hiyo bajeti ikoje!
kwa lugha rahisi, mbowe anatimiza majukumu yake!!
 
Sijakuelewa atoe alternative kwa serikali ya CCM? Sijawahi kusikia jambo kutoka kwa wapinzani likifanyiwa kazi direct na serikali hii zaidi ya kubezwa
 
Wananchi wanasikia na kupima mambo...hata kama haitafanyiwa kazi, lakini wananchi watapambanua na kuona kuwa wapinzani wana sera -mbadala itakayowaletea maendeleo iwapo wataaminiwa kuongoza nchi! Sio kusimama na kukashifu vipaumbele vya bajeti bila kusema nini kifanyike as an alternative!!
 
Kufuta kodi ya road levy na kupeleka kwenye mafuta ulikuwa ushauri wa Peter Msigwa.

Msigwa ni mbunge wa upinzani.

Angalia hiyo video katika komenti ya pili.
 
Mkuu kumbuka wao wanachotakiwa ni kupinga tu, haijalishi hiyo bajeti ikoje!
kwa lugha rahisi, mbowe anatimiza majukumu yake!!
Hapana! Neno upinzani halimaanishi wao kaziyao ni kupinga tu..wanapaswa kupinga huku wanaonyesha wananchi kuwa wakipewa nchi wataweza kuja na bajeti/sera nzuri zaidi itakayonufaisha watanzania...kwa sasa wako bize wanapinga pasipo kuonyesha kuwa na alternative...kwa usawa huu watasubiri sana aisee
 
Kufuta kodi ya road levy na kupeleka kwenye mafuta ulikuwa ushauri wa Peter Msigwa.

Msigwa ni mbunge wa upinzani.

Angalia hiyo video katika komenti ya pili.
Kaka Msigwa hawezi kukosea? kwani ni lazima kila anachokiongea mpinzani kiwe sahihi, mbunge wa CCM anaweza kupinga hili kwa hoja na upinzan pia, kama atakosea CCM ata mpinzani anaweza kukosea issue ni kupima faida na hasara na kuleta ushauri mezani, point yangu ni wabunge wengi wa upinzani kupuuzwa.
 
Wananchi wanasikia na kupima mambo...hata kama haitafanyiwa kazi, lakini wananchi watapambanua na kuona kuwa wapinzani wana sera -mbadala itakayowaletea maendeleo iwapo wataaminiwa kuongoza nchi! Sio kusimama na kukashifu vipaumbele vya bajeti bila kusema nini kifanyike as an alternative!!
Na ndio maana CCM wanapoteza mvuto ni kwa sababu hiyo hiyo ya kwamba wananchi wanasikia na kupima mambo, nakupa mfano mdogo juzi tu lissu kaongelea issue ya mchanga kuanzia maana ya mikataba ya madini, na sheria zake, madhara ya alichokifanya mkuu, hasara tunayoipata na tufanye nini ili kunufaika na madini sasa wewe ni mtanzania gani unaeuchoka huu upuuzi.
 
Mbowe ww hautwambii kitu saivi malengo yako yote na jinsi unavotumia pesa zetu za chama kwa kuwapandisha mademu zako ndege mkale ukwaju tunakujua sanaaa kaaa kimya hauna chako tena
 
Moja ya Kitu Serikali ilichofanya cha ajabu ni Kuondoa Motor Vehicle Licence kwa Magari na kuipeleka kwenye Mafuta.

Hili Jambo litaenda kuathiri Uchumi wa Mtanzania kuwa Mbaya zaidi. Kumbuka Nishati ya Mafuta ndiyo kila kitu. Hii itaenda kufanya bidhaa kupanda gharama ya kununua, nauli kupanda na mwishoe kuathiri maisha Mazima ya Mwananchi wa Kawaida.

Pia itaathiri mfumko wa bei na maisha yatazidi kuwa Magumu. Kipengele hiki Sikubaliani nacho kabisaa.

Ni maoni yangu tu haya.
Kwa hiyo ulitaka ibaki? Ikibaki mnasema chanzo cha ufisadi wa traffick, chinjachinja ya magari mabovu yanayodaiwa malimbikizo

Mfumuko wa bei hauwezi kuathiriwa na hii kodi,
 
Back
Top Bottom