Mkuu umma upi tena wakati Ticts tuu na mkataba wao wa miaka 25 ni mingi sasa yeye na huo mkataba wa miaka 45
Jamaa hilo nundu lipo hadi kwenye moyo wake, Kwa taarifa yako wizara ya uchukuzi na taasisi zote zimefurahi sana kwa jamaa kupigwa chini mwizi mkubwa
Mwanawane hiyo ndio maximum utamu, Wakamulie wote sawa usimbanie mumeo au ongeza mwingine ili uwe na full dozi tatu wiki mara mbili siku moja service
Baada ya mwezi hal itakuwa normal na utendelea na mme bila matatizo na penzi litakwa motomoto
vingenevyo ni PM nikup maelez mengine ya hii dozi
Mkuuhuko Icao unakofichia kombe mwanaharamu apite ndio hakufai kabisa kwani tukifichua hata yale aliyofanya Getrude Mongella pale AU hayafai kwa hiyo wala usiende huko kwenye janga la taifa
Jamaa ni mbinafsi yaani ule umimi upo kwa kiasi kikubwa sana
Yaani woote wezi isipokuwa yeye na kama...
Kalagabaho, Kwa hiyo bora kuishi Tanzania Sio, Haya kila la heri fainali uzeeni ndio utaijua, Kwanza umeshajijibu mwenyewe matatizo yao ni ulevi
Kama angekuwa hana karatasi asingelala hapo hao ni vijugu tuu
Tanzania ndio maana haiendelei sasa wewe umepata tenda hata pakuyapata hupajui
Hizo meli zitakazokuwa high seas zinasubiri kuuza bila kuwa na order ?
Ndio maana Mataka kaiba ATC sasa na wewe chukua chake usepe tuu
Ni mgawano wa virusi......na si lingine.....huyu jamaa Diamond ataishia kuwa na Mkusanyiko Kokofyo wa Virusi(MKV)
Mkuu mimi mwalimu wangu ni bambucha kwa hiyo hata hich kiswahili sielewi, jee utanisaidiaje kuelewa hicho kitu Mkusanyiko kokofyo wa virusi
Mkuu bure ni wewe huo ubure uko wapi wakati kilio chake na wanamafia wenzake kimesikilizwa, kwani huko kwenu mabara hamna viwanja mpaka mje huku pwani kutuharibia ustaarabu wetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.