Waziri matatani; Sakata la upanuzi bandari - Alitaka kuwazunguka Mkulo na Dk. Kawambwa

Mkuu Borat, ongea mambo ambayo una uhakika nayo. Kamwe usiamini habari za kusikia. Hiyo ghorofa kama inajengwa au imenunuliwa, sio kutokana na rushwa. Huyu bwana, kama unakumbukumbu nzuri, alikuwa President wa International Civil Aviation Organization (ICAO). Mimi nadhani mshahara na marupurupu aliyokuwa anapata pale ingetosha kufanya project yoyote aitakayo au hata kuritire mapema. Tujaribu kutumia objective badala ya subjective kwenye arguments zetu, vinginevyo tutakuwa tunaendeleza chuki tu.

Ningekuwa mwandishi wa habari kama hii, ambayo inamuhusu mtu muhimu kama Bwana Nundu, ningefanya juu chini kupata japo sentensi mbili kutoka kwa Nundu mweyewe au kwa mtu aliyekaribu nae,li atleast kuonyesha contrast ya habari. Lakini haya mambo ya kumeza kama kasuku sidhani kama yana manufaa kwa taifa.

Mkuuhuko Icao unakofichia kombe mwanaharamu apite ndio hakufai kabisa kwani tukifichua hata yale aliyofanya Getrude Mongella pale AU hayafai kwa hiyo wala usiende huko kwenye janga la taifa
Jamaa ni mbinafsi yaani ule umimi upo kwa kiasi kikubwa sana
Yaani woote wezi isipokuwa yeye na kama hawaamini mwenzake jee nani atamwamini yeye
mfano huu hapa ni kigezo gani alichotumia kumweka Chizi ATCL
 
Back
Top Bottom