Ahahah, Dah, Naona watu wanazidi Kutokomeaaa!...
Ughaibuni 1 - Bongo 0, Game bado Linaendelea Dakika ya 60, Goal Keeper wa Wa-Wapiga Box amedaka Mpira uliopigwa na Mchimba chumvi kutoka Mbagala!...
Mpira Unaendelea....
Bongo wamegoma kurudi, Na Haturudi kweli, Bongo ni kwa Kujenga kwanza na...