Climax Short Film - a Must Watch

Climax Short Film - a Must Watch

BooSt3D

Senior Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
128
Reaction score
13
Ndugu, Katika pitapita zangu za youtube nimekutana na kazi ya Mtanzania mmoja kwenye mambo ya filamu fupi yaani SHORT-FILM kwa kizungu, nikaona ni vyema niweke hapa ili na nyinyi mpate fursa ya kuiona.

Kwa kweli amejitahidi sijui nyinyi mnaonaje? sio vibaya kusupport vya kwetu kivyetu.

B.
 
Last edited by a moderator:

Nimeipenda sana
 
Last edited by a moderator:
Story:
Story si mpya saana lakini ni sawa tu. Inaweza kuwagusa watu fulani.

Production (A bit techy here):
Noma!! Nimependa quality ya picha.. Ultra-clear, really nice... A Red Epic camera??? DSLR? Sijui. Color grading ni professional, aliyeifanya anajua modern color trends ie teal-orange colors. Filamu ina "cinematic feel" kwa sababu ya matumizi ya depth of field. Camera angles na shots zimechaguliwa kwa umakini..... Editing nzuri na imesaidia kuifanya story ionekane ina kasi na kuficha udhaifu wa msimuliaji aliyekuwa slow (regardless na nature ya story).

Kwa kifupi... production ni nzuri na ya kisasa sana. Hongera zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom