Afya za mastaa wa bongo fleva!

mkuu huyu jamaa amevunja rekodi ya kupunguza uzito bongo, natamani nijue siri yake halafu nafungua weight clinic/health club maeneo ya mikocheni au nitaongea na zadok anipangishe kwenye hayo magara yake ya dar village niwabane mademu wa kibongo maana wengi nao wapo obsessed na uzito.

anasema yeye ni diet tu, alikuwa anakula chapati saba asubuhi na chai, lakini sasa hv muhogo wa kuchemsha kipande na chai ya rangi.
 
Kwani hao ni mamodo? Ile ilikuwa miili ya shida. Asiyenenepa ni J. S. Warioba tu Tanganyika hii na ndiye anayepaswa kusifiwa kwa kumenteini.
 
ila Prof. J licha ya kufura lakini bado yupo fiti jukwaani, namkubali sana
 
Katika society hii ya kibongo mtu akinenepa ndo kapata mafanikio jamani, wengi wakiwa na pesa ndo utawakuta huko kwenye ma biere na nyamachoma, supu na vyakula vingine ambavyo baada ya muda utakuta mtu kafumuka km puto basi hapo wadanganyika utasikia jamaa mambo yake supa si unaona alivyochana tehe, wakati kumbe ndo anakaribisha ma presha na sukari bila kujijuwa, tumejengeka hivyo so hata hao wasanii hutawakosa huko kwenye VITI MOTOZ wakifutusha miili yao. wenzetu wana mpaka watu maalum wa diet na ni siriaz kweli kweli. Wabongo au sie waafrika mazoezi yetu ni KITANDANI tuu ukimwambia aende GYM anashangaa hahahah eti mie mwanamuziki na si BONDIA, BONGO kweli tambarare
 
Kuna wengine wanaona kuwa mnene kama Pepe Kale ndio sifa, au kuwa kifutufutu ndio afya, na ukiwa kama Kagame unaonekana huna afya na una matatizo makubwa. Hii ndio Tanzania.
 
Ukweli ni kwamba they need to exercise, wakishauza albam wanahamia hotelini, kazi ni bia nyama choma na chipsi na ofcourse... sasa kwa nini wasinenepe? btw kwa nini watz hatuna utamaduni wa kufanya mazoezi, au hili pia mtasema ni la kidhungu
 
Hatuna tamaduni za kufanya mazoezi na hata ukitembelea gym nyingi za dar, utakuta 90% za ni wakina dada na wameishi abroad. hata jogging basi kama hela ya gym hawana.

Na ndio maana thread za matatizo ya nguvu za kiume hapa ni nyingi na akina DR. MANYUKI wanawapata kwelix2.
 
Hawa hawaoni watu kama akina 50 cent,ndio matajiri kwenye hii gemu lakini wapo fit kinoma,wao na hela zao za madafu?Lakini bange zinasaidia kupunguza mwili ukizitumia vizuri,embu mcheki Nature uupate ukweli wa bange!!
 
Hatuna tamaduni za kufanya mazoezi na hata ukitembelea gym nyingi za dar, utakuta 90% za ni wakina dada na wameishi abroad. hata jogging basi kama hela ya gym hawana.

Na ndio maana thread za matatizo ya nguvu za kiume hapa ni nyingi na akina DR. MANYUKI wanawapata kwelix2.
kwi kwi kwi kwi, you made my day. hivi unene huwa unanyonya ile kitu ndani?
 
kwi kwi kwi kwi, you made my day. hivi unene huwa unanyonya ile kitu ndani?

Exactly! na hata kama hainyonyi ndani, mzunguko wa damu unakuwa hafifu so no erection na kisukari kikibisha hodi hapo ndio kbsaa kanapotea.
 
Burn! Unamjua biti Mpera? unatisha maana huyo kingozi wa waswezi alisha fariki kitambo kidogo huko tabora
 
Mchango Wangu,

  1. Prof J
  2. Matonya
  3. AY
  4. Joycelene
  5. Keisha
  6. Kassim "Awena"
  7. QChief
  8. .....

B.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom