Recent content by Bonnie1974

  1. Bonnie1974

    [PICHA] Maandamano ya CHADEMA Mkoa wa Mara

    WAONGEZE BIDII ,nafikiri ni neno sahihi zaidi.
  2. Bonnie1974

    Struggling To Abstain

    Hi ! mama hujambo? long time heeh MJ1 makungwi na masomo , zamani siyo sasa. La msingi hapo afanye masturbation.It is vey health, it helps a man/woman 2 relax.Asikutishe mtu kuwa ina madhara,unatakiwa tu kuwa imaginative . Inasaidia sana hasa kwenye zama hizi za HIV/AIDS. Madiba alitumia sana...
  3. Bonnie1974

    Zitto njia panda

    Bwana Mdogo is too ambitious.
  4. Bonnie1974

    Zain Dakika za mwisho kuuzwa, kubadili jina na kuwa AirTel?

    Katika kuweka sawa kumbukumbu , ieleweke kuwa five year tax holiday haipo nowdays. Imeondolewa.
  5. Bonnie1974

    WANAUME ni Watu wa Ajabu Sana!

    mkulu analysis yako ya kwanini wadau wanapendelea kuji-express , inanipa maswali mengi.............. Tafadhali ni pm.
  6. Bonnie1974

    Ole Sendeka afutiwa mashitaka

    PESA SI JAWABU LA KILA KITU. Tusubiri what next.
  7. Bonnie1974

    Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile

    Somo tunalopata hapa ni umuhimu wa KUMUELIMISHA mtoto wa kike. Asalalah MOLA awaepushe WALE WALIOBAKIA
  8. Bonnie1974

    The Tiger Woods Saga and beyond

    Hapana Ndugu Huu mchezo ni kama ule uliofanyika kwa Mike Tyson. Unajua mtu kama Woods amekuwa akishinda michezo yake mingi. HILI NI TATIZO KWENYE INDUSTRY YA KAMALI, wadau wanao-regulate huo mchezo i.e "MAFIA" lazima WA-INTERVINE kuhakikisha MCHEZO UNABALANCE.Lazima kuwepo na kushinda pamoja...
  9. Bonnie1974

    The Tiger Woods Saga and beyond

    Prosecutor akiwa Ken Star.
  10. Bonnie1974

    The Tiger Woods Saga and beyond

    What are you insinuating gentleman?! Personally if you ask me, nafikiri ya akina Tyson yanajirudia,sijui,let us watch until the end.
  11. Bonnie1974

    Mke wangu hataki kufanya tendo la ndoa

    Yah , mate yanasaidia.
  12. Bonnie1974

    Mafuta ya IPTL yamenunuliwa wapi?

    Wakulu Unapokuwa kiongozi wa nchi unapokea "briefs" za nini kimetokea au kinatarajiwa kutokea Hili tatizo la umeme lilijulikana muda mrefu,idara husika hutoa hali ya nchi kila siku kwa kiongozi mkuu na kujadili yote yaliyotokea kwa siku husika na nini kinatarajiwa kutokea based on...
  13. Bonnie1974

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Mkulu unaelewa ukubwa wa tikiti maji? au unamaanisha vipande vitatu.Matikiti maji matatu huo ni mlo kabisa.
Back
Top Bottom