WANAUME ni Watu wa Ajabu Sana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WANAUME ni Watu wa Ajabu Sana!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Mar 23, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  .............deleted
   
 2. M

  Mwano Member

  #2
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo umesema kweli, wengi wanapenda tigo, tena hata kwa wanaume wenzao, ila mitaani wanajifanya wakali sana, eti dhambi na mengineo, tigo poa!
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,011
  Trophy Points: 280
  Jina la mtoa mada na tittle ya mada yenyewe vinanitatiza kuchangia chochote.

  No comment!
   
 4. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  huyu bwabwa thread zake zote huwa za ajabu sana na mara nyingi huwa zinaendana na jina lake.

  bwabwa bwana!!!!!!!
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  oooh my god ..Bwabwa matendo yako hayavutii hata kidogo ushindwe na ulegee
  hii thread yako inaboa haina mvuto wa kuchangia

   
 6. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  fl1 ni kweli kabisa haiendani kabisa na mila,na desturi za watanzania, nadhidi kusisitiza anatudhalilisha
   
 7. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mkulu
  analysis yako ya kwanini wadau wanapendelea kuji-express , inanipa maswali mengi..............

  Tafadhali ni pm.
   
 8. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  inasikitisha kuona mtu akili yake kila saa inawaza uchafu tu!sasa unaelezea hizo faida ili?
  wewe kaka yetu unasikitisha sana jamani!
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mwanaume kuliwa tigo, mwanaume kula tigo yan mwanamke au mwnaume is GROSS
   
 10. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Naona hii ni kama kampeni watu waipende na sio waiache. God forbid.
   
 11. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  mshikaji mambo gani haya sasa tena.acha hizo bwana haipendezi!
   
 12. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Bwabwa sasa unaboa wenzako.. Ulijitahidi hapo nyuma kuacha! UMERUDIA tena..Hii siyo GREAT think pls
   
 13. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Karogwa
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,183
  Trophy Points: 280
  Bwabwa apigwe ban ya miezi mitatu tupumzike kusikia mauvundo yake.
   
 15. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  No comments!!
  Huyu bwabwa....... arggggg
   
 16. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Eeee Mungu kwa jina la YESU muokoe mtu huyu
   
 17. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Moderatos pls do us a favour,mfungieni BWABWA,hii ni kwa faida ya JF wala hatutawalaumu kwa kukiuka uhuru wake wa kujieleza,hakuna uhuru usio na mipaka na kila haki inaambatana na wajibu,ana haki ya kutoa maoni lakini ana wajibu wa kuheshimu hisia za watu wengine otherwise upuuzi wake atafute forum nyingine ya kuongelea kwenye watu wa dizaini yake wanaopenda stori hizo.
   
 18. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Yeah ubaya ukihubiriwa sana na kuzoeleka akilini mwetu; tutaugeuza na kuuona ni uzuri tu!:mad:
   
 19. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Kweli wanaume ni watu wa ajabu sana ,wanawake wapo kibao lakini wanaume bado wanahangaika na MI BWABWA TUU!!!
   
 20. D

  Daktari Member

  #20
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unasema unakaaga na wanaume wenzako wanakusimulia! kwani ni mwanaume? naunga makono suala la ban kwa huyu!
   
Loading...