Recent content by Bongo

  1. B

    njia kuu iko Kwenye matengenezo nachepuka kidogo

    sure vaislay mchepuko hamna dili siku hizi
  2. B

    njia kuu iko Kwenye matengenezo nachepuka kidogo

    Wadau Jamaa yangu kanitumia ujumbe 'kamanda Leo njia kuu iko matengenezoni nachepuka kidogo'
  3. B

    Nahisi nimeambukizwa HIV, Ushauri please

    Brother, it happens to any human beings so we si wakulaumiwa ni sawa na kupata ajali ya gari. Kuogopa kupima sio suluhisho maana utaendelea kujitesa bure better you know once and for all then you will make decision from there. I dont think your frind is a killer what could have happen labda...
  4. B

    Ndege ya Air Tanzania yapata ajali ikiwa na abiria 35 Kigoma, hakuna vifo

    Breaking news!!!! Ndege ya ATC yaanguka uwanja wa ndege Kigoma!source TBC1 breaking news, inasema watu 35 wamenusurika, habari zaidi baadaye. Mdau mwenye taarifa zaidi atupatie.
  5. B

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Zanzibar na bara haiwezekani idadi ya wajumbe sawa !
  6. B

    Gari la Sugu lawaka moto na mbunge Silinde anusurika kufa

    Walio karibu wafuatilie hizi habari please
  7. B

    Kutoka CHADEMA: Updates juu ya msiba wa Mheshimiwa Regia Estelatus Mtema

    Mungu ameona ufanisi wake akaamua ampangie kazi nyingine Mbinguni! CDM Mungu anampango wake!
  8. B

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    ITV inatangaza matokeo vituo vitano cdm inaongoza
  9. B

    Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Naomba mwenye updates anipatie tafadhali, au mikwara ya jana ilikua tishia nyau!
  10. B

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    hiyo imekaa vizuri...thanks for the info
  11. B

    Ushauri kuhusu mkopo wa gari

    Spea sio issue maana hawa dada zetu wanatumia gari vizuri, so nashauri nunua corola haina ufundi, pia inaweza kwena masafa marefu...haya mengine yanaweza kuchemsha anytime. kuhusu mkopo please angalia interest rates...you should go for the lowest.
  12. B

    Zitto amwambia Makinda nipo tayari kuvua dagaa kijijini kwetu

    kwani ukimwambia mwajiri wako hutaki Per diem atakufukuza kazi? Huyu mama yetu atalipeleka bunge kubaya
  13. B

    Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Februari, 2011

    Sikuyaamini yale niliyosikia ..ina maana JK anahofu kama Ghadafi au, wana JF naomba tuiangalie hii kauli kiundani na kwa umakini, Chadema haikua inacampaign mambo ya dowans???!!!! haya ndo mambo ya kuwadanganya wananchi na hivyo naomba mwongozo tumchukulie hatua gani!
  14. B

    Housegirl kanichanganya sana!

    Wewe kama mkuu wa familia una 'say' hivyo amka asubuhi mwambie ajira yako leo mwisho na unampa 24hrs notice. maadam anajua kua anamchakachua mkeo hatakua na kipingamizi kuondoka.
  15. B

    Safari za nje za Mhe. Rais Kikwete 2010 - 2015

    Kwanini yaliyo tokea misri tusiyalete hapa bongo?..peoples power! tumechoshwa!
Back
Top Bottom