njia kuu iko Kwenye matengenezo nachepuka kidogo

njia kuu iko Kwenye matengenezo nachepuka kidogo

Bongo

Member
Joined
Feb 10, 2009
Posts
16
Reaction score
1
Wadau Jamaa yangu kanitumia ujumbe 'kamanda Leo njia kuu iko matengenezoni nachepuka kidogo'
 
mkuu toka 2009?

hujajua tu nini cha kufanya?

mpaka realfrank anakushinda kujieleza? lols!

i am kidding bro!
 
Mjibu...wewe uko njia kuu,mchepuko kumefungwa
 
Mtext na yeye siku akiwa na kisukari au henia mkewe atachepuka!
 
Matengenezo yanachukua siku ngapi? 3 au 4 wengine 7,du uvumilivu muhimu,siyo chakula ukikosa utaumwa!....
 
Back
Top Bottom