asaalam aleykhum al jamia, nimekua nafikiria kusomea mass communication na ningependa kusoma out of Tz, sanasana US, kwa wenye taarifa semister huanza lini huko na process ziko vipi za kuapply?
nikipata na link ya vyuo nadhani itakua poa, nimeambiwa state universities are a bit affordable...