Baruani Mhuza naye huyoo, kwa Lowassa

Any proof? Lowassa is CLEAN! Kazi ipo this 2010... Long way to go.

CLEAN indeed. Kama alikuwa ama yuko Clean kwa nini alikubali kujiuzulu? Haingii akilini kwamba hakuweza kujitetea kwa swahiba wake na kuonyesha cleanness yake. Badala yake akakubali kuwa slaughtered kama kondoo wa kafara to the expense of his friend's pride, maana ilibidi Swahiba wake avunje baraza la mawaziri kwa fedheha - jambo ambalo halijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu!
 
Jamani maisha magumu. Baruan Mhuza maisha yake ni ahueni sasa kuliko ilivyokuwa awali, mwacheni asomeshe watoto.

i like this, most media houses in Tz pay peanuts, ikitokea mtu
kapata greener pastures sioni tatizo, kwani kufanya kazi kwa lowassa ni dhambi, shame on you. kuna wanaofanya kazi kwa Mengi ambaye anajifanya ni mpambanaji wa ufisadi but they go for months without salary, mwacheni jamaa ale shavu
 
- Lowassa sisi taifa tumemshindwa sasa tusionee wengine wasio hatia, on the otherside naye Rostam amenunua TV na kuongezea kwenye media zake, maana yake ni moja, kwamba hawa watu wanafikiria kutawala siasa zetu for a very longtime in the future!

- Yaani wanaona mbali sana na wamegundua sisi wabongo ni kelele za mlango tu!

Respect.

FMEs!
 
Mhhhh na kuna abc TV yaja ,patakucha!
Hizi zote zinasikika TZ yote? au ni kwa wapiga kura wake tu, au ni zile zinazoishia magomeni tu

Je twaweza kujua huyu Nyiti anawezaje kuwalipa wafanyakazi hao mshahara mara tatu ya wanavyolipwa sehemu zingine? Nasikia huyu Lowassa ni hodari wa kuwatumia watu wengine kumfanyia shughuli zake.
Mwanzoni huwa wanalipwa vizuri, siku zikisogea mishahara inakuwa kero ndio mwanzo wa migomo, nawashauri warudi walikokuwa wasije wakajuta baadaye.
 
Je twaweza kujua huyu Nyiti anawezaje kuwalipa wafanyakazi hao mshahara mara tatu ya wanavyolipwa sehemu zingine? Nasikia huyu Lowassa ni hodari wa kuwatumia watu wengine kumfanyia shughuli zake.

Hii nasiki nasikia tumeizoelea humu, lakini tumjuavyo Lowassa anakwenda mbele mwenyewe.
 
CLEAN indeed. Kama alikuwa ama yuko Clean kwa nini alikubali kujiuzulu? Haingii akilini kwamba hakuweza kujitetea kwa swahiba wake na kuonyesha cleanness yake. Badala yake akakubali kuwa slaughtered kama kondoo wa kafara to the expense of his friend's pride, maana ilibidi Swahiba wake avunje baraza la mawaziri kwa fedheha - jambo ambalo halijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu!

Hata hivyo haijamsaidia kitu a bado wanasema hajawahipo kufanya maamuzi magumu.
 
- Lowassa sisi taifa tumemshindwa sasa tusionee wengine wasio hatia, on the otherside naye Rostam amenunua TV na kuongezea kwenye media zake, maana yake ni moja, kwamba hawa watu wanafikiria kutawala siasa zetu for a very longtime in the future!

- Yaani wanaona mbali sana na wamegundua sisi wabongo ni kelele za mlango tu!

Respect.

FMEs!
Nionavyo huko mbeleni baada ya Kikwete nchi hii itakuwa chini ya uongozi wa Lowasa and Co,jamaa kwa sasa hakuna wa kumpinga kwani kajiposition kila mahala na hakuna mtu wa kumzuia,lakini pia itawezekana iwapo tu Wa TZ tutaamuka kutoka usingiziini .Lowasa alivyo na visasi nchi hii itakuwa si mahala panapokalika .Na tuombe majaliwa ya Mungu atuajalie tufike 2015
 
Back
Top Bottom